GE2025 Zitto azindua Kampeni Kigoma Mjini aahidi kupigania haki za kiraia

GE2025 Zitto azindua Kampeni Kigoma Mjini aahidi kupigania haki za kiraia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amezindua rasmi kampeni za ubunge na udiwani kwa chama hicho katika mkoa mzima wa Kigoma.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Zitto amesisitiza dhamira yake ya kupigania haki za kiraia kwa wazawa wa Kigoma.

Mbali na Zitto, uzinduzi huo pia umehudhuriwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Kiza Mayeye ambaye ameahidi kutetea maslahi ya wavuvi pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora na nafuu za afya endapo wabunge wa ACT Wazalendo watapewa nafasi ya kuwatumikia wananchi.
 
Back
Top Bottom