Vyama vya majina ya kizungu haya hatuvitaki kabisa. Bora CCM iendelee kutawala kama CDM ikishindwa. Hatutaki kuhudumia matumbo ya watu hapa Wananchi tumecoka. Habari za ZZK sio mpya. Ni sawa na alikokuwa
Kwa mantiki hiyo CCM ndiyo wanaochagua wimbo gani aupige maana washalipia!!! ha ha haZZK ni mpiga zumari wa CCM ... Ruzuku yote inatoka CCM... Maandalizi ya mikutano yao inaratibiwa na CCM ,...
ACT wanasera gani?mbona unajiaibisha hawana lolote wanajambajamba tu wao ni kuvuruga upinzani,Ayatola wenu kila anakokwenda ni kujisifia tu na sana anaeneza udini hasa kigima.
CDM sio chama bali ni NGO ya Mbowe na watu wake, tangu lini pensheni ya mapato ya chama inalipwa kwa wasisi?
Teteteteh....siku hizi habari leo ina ripoti upinzani?.Si mnakatazwa kuripoti issues za upinzani?.Huyu zito mna ripoti kwa misingi gani?jibu mnalo waswahili,mafisadi.
Act sio chama bali ni NGO ya zito , aliyoitengeneza kwa kufadhiliwa na ccm ili kuipunguza kasi chadema. We know sana kabisa. Hatudanganyiki.
Usiangalie majina bali vyama hivyo vinasimamia nin?ni kweli CCM na Chadema kisera wanafanana, zinatofautiana majina tu.
Tumepata this time chama chenye misingi tofauti, ndio maana unaanza kusikia hoja zikianza kuongelewa.Ndio tunapaswa kwenda huku.
ACT ina aina ya siasa inayolifaa taifa letu, maana tukiwa na vyama uniform vinavyofanana kuna haja gan basi ya kuwa navyo?ACT kimekuja tofauti, turudi kwenye misingi.
Zitto kaleta balaa sana, silipendi sana hili jitu kwa kweli
Teh Teh ....mwaka huu Bavicha mtajuta kumfahamu Zitto.
kama huna la kuchangia, kunyamaza pia ni njia nzuri ya kuchangiaWatanzania wanataka kusikia habari ya Katiba mpya kama inafaa ama haifai, Tume huru ya uchaguzi, Uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura na Uchaguzi mkuu mwezi October - sasa mtu mwingine eti anatanganza chama chake kipya!!
ACT wanasera gani?mbona unajiaibisha hawana lolote wanajambajamba tu wao ni kuvuruga upinzani,Ayatola wenu kila anakokwenda ni kujisifia tu na sana anaeneza udini hasa kigima.
umegushwa nini ? watu wako tayari kula biliani wewe unakuja na mihongo ya kuchemsha ya jana yake!! pole!!kama huna la kuchangia, kunyamaza pia ni njia nzuri ya kuchangia
Acha kutadanganya hapa sisi sio wavivu wa kufikiri kama wew na kuburuzwa na zito huku yeye akivuta mkwanja kutoka kwa ccm. Ati ccm wawe na sera sawa na cdm?? Kamdanganye mkeo. Ccm huiba sera za cdm na kuanza kujinadi. Sera ya elimu bure ni ya ccm au ya cdm?? Katiba mpya ni sera ya ccm au chadema. Nyamaza kimya kama hujui kitu kuliko kupoteza watu wew mvivu wa kufikiri.. ndo mana mnaombewa pesa kutoka kwa migulu ili muwe kwa media kupamabana na cdm. Tumeanza na Mungu tuna maliza na Mungu.
Watanzania wanataka kusikia habari ya Katiba mpya kama inafaa ama haifai, Tume huru ya uchaguzi, Uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura na Uchaguzi mkuu mwezi October - sasa mtu mwingine eti anatanganza chama chake kipya!!
hamtafika popote, mmengia kwa gia siyo!! mshauri wenu anawapoteza!! huwezi kujenga msingi wa chama madhubuti kwa mbinu za kiujanja unjanja (usanii)!! never!!Tulia fuso, wakati unatangaza sera hayo yote unayasemea. hofu ondoa. ni suala la kusema msimamo wako.
dawa inapenyeza kidogokidogo mpaka mtaelewa Nini maana ya kuwa mzalendo.
hamtafika popote, mmengia kwa gia siyo!! mshauri wenu anawapoteza!! huwezi kujenga msingi wa chama madhubuti kwa mbinu za kiujanja unjanja (usanii)!! never!!