Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 593
- 1,713
teteteteh....siku hizi habari leo ina ripoti upinzani?.Si mnakatazwa kuripoti issues za upinzani?.Huyu zito mna ripoti kwa misingi gani?jibu mnalo waswahili,mafisadi.
Zitto kaleta balaa sana, silipendi sana hili jitu kwa kweli
akili zako zimeishia hapo au mbege za mchana?Kwa Dodoma hawezi kutudanganya lolote aende zake Kigoma huko.dodoma hatutaki watu wanaoeneza udini na wanajisifia maisha yao.sisi na CCM au wengine UKAWA basi.
akili zako zimeishia hapo au mbege za mchana?
Ha ha ha,huyo ndo KABWE makanika,JITU KUMBUKAZitto kaleta balaa sana, silipendi sana hili jitu kwa kweli
Ukweli ndo huo na Dodoma ZZK anakuja kupiga mayowe tu hatuna muda nae sisi sio kijiwe chake cha Urusi na meza ya duara vilivyopo kigoma ambavyo amewashikia akili mpaka na wake wao.hatuhingwi na matisheti yake.
Watanzania wanataka kusikia habari ya Katiba mpya kama inafaa ama haifai, Tume huru ya uchaguzi, Uandikishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura na Uchaguzi mkuu mwezi October - sasa mtu mwingine eti anatanganza chama chake kipya!!