Zitto atatua mgomo barabara ya kilwa.

Zitto atatua mgomo barabara ya kilwa.

ADAMU.

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
202
Reaction score
70
Kulikuwa na mgomo ktk barabara kuuu itokayo DSM kwenda mikoa ya kusini ktk eneo tajwa

Mgomo huu uliochagizwa na ajali za kila mara ktk eneo tajwa
wananchi wakaamua kufunga barabara kuzuia magari yote yatokayo Lindi,mtwara na Ruvuma

Kadhaalika na magari yatokayo DSM

Zitto akiwa ktk safari zake naye akitoka kusini
Ilimlazimu kutoa fungu la pesa kusuluhisha hitaji la wananchi(kufanya marekebisho ktk eneo lile)

Ikawa sabab ya kumalizwa kwa tatizo....

Alichokifanya ni ktk uungwana hakuna ambaye angetambua kuwa ktk magari Yale kuna zitto Kabwe ndanimwe

Nilivutiwa namna alivyokuwa akijizoazoa toka ktk gari huku akiwaaga washirika wa safari yake "wacha tukasikize matatizo ya wananchi "
mkononi tayari ana fungu la pesa baada ya kutambua hitaji la husika

"Amepanda hakika atalipwa kwa dhamira yake"
 
mzushi mkubwa usiitilie nuksi barabara yetu ya Kilwa HATUNA AJALI ZA HIVYO. MWONGO WE!. ANGALIA REKODI ZA USALAMA BARABARANI HALAFU NDIO UROPOKE.
 
...wazalendo ni waongo kiasi hiki...?!? bhahahaaaa msaka tonge ni mwepesi wa kusahau...
 
Back
Top Bottom