ZITTO wewe ni mamluki tu na umeona hatma yako kisiasa ina kwenda kombo baada ya wanaJF kukuchambua vilivyo. Kama umeamua kurudi kundini ni vyema ila tunakutaka ujisafishe na kauli zako za kuchefua wana CHADEMA wabunge na viongozi wenzako. Na kama umejirudi ili upange mikakati yako ya kugombea urais 2015 sahau tumeshakushtukia na huna mvuto kwa wapambanaji wa kweli labda kwa mkwere na mafisadi waliokufadhili. Tunakufuatilia nyendo zako bunge la 10 na utajinyonga kwa kamba yako mwenyewe. pipooooo!!!! pa wa
Kwamba hawezi hata kufikiria kuihama Chadema. Labda kuna watu wanataka ahame, lakini yeye hawezi kurudia makosa waliyotenda waliomtangulia
source: tbc1 radio, saa 2 usiku huu
my take, kwamba wanasiasa wa upinzani wa kigoma ni maarufu wa kuhama vyama na zitto anasutwa na hili hivyo hataki kuwa Kama waliomtangulia
Kwamba hawezi hata kufikiria kuihama Chadema. Labda kuna watu wanataka ahame, lakini yeye hawezi kurudia makosa waliyotenda waliomtangulia
source: tbc1 radio, saa 2 usiku huu
my take, kwamba wanasiasa wa upinzani wa kigoma ni maarufu wa kuhama vyama na zitto anasutwa na hili hivyo hataki kuwa Kama waliomtangulia
Zitto akitaka VIJANA wenzake tukamuamini tena basi afanye mambo
(4) Japo ni swala binafsi (lakini kwa ushauri) tafuta wako wa ndani atakayelinda YOUR APPARENT EMOTIONAL WEAKNESSES.
.
I believe in u Zitto!! @least sanity has prevailed..ZITTO wewe ni mamluki tu na umeona hatma yako kisiasa ina kwenda kombo baada ya wanaJF kukuchambua vilivyo. Kama umeamua kurudi kundini ni vyema ila tunakutaka ujisafishe na kauli zako za kuchefua wana CHADEMA wabunge na viongozi wenzako. Na kama umejirudi ili upange mikakati yako ya kugombea urais 2015 sahau tumeshakushtukia na huna mvuto kwa wapambanaji wa kweli labda kwa mkwere na mafisadi waliokufadhili. Tunakufuatilia nyendo zako bunge la 10 na utajinyonga kwa kamba yako mwenyewe. pipooooo!!!! pa wa
Zitto aende tu
aende wapi? mtaji aliowekeza CHADEMA amwachie nani?
Zitto aende tu