Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

Same person in different colours

Yesterday
quote_icon.png
Originally Posted by Waberoya

I mean we should be careful na watu kama Zitto yes they are bright, mmh! But they might be dangerous for the opposition existence.

Today
He! tuliona chadema ilivyoanza kushika kasi! ni kipindi kile ambacho misimamo ya zito udsm ikawafanya watu wakitafute chama kiko wapi!!!

ulichosema ni sentensi ndogo sana, Zito angekuwa mroho wa madaraka au vyeo angekuwa mbali kupitia hata CCM!!

Tomorrow?????
 
mambo mengine bana! kama hayo penye nyekundu ni maneno ya zitto mmh.
kwani hapo angesema hana la kusema (no comment) angepungukiwa nini?
kwa kweli matatizo mengine ni ya kujitakia au ndio "mkakati" wa kubaki kwenye habari siku zote.
mara nyingi nimesoma hapa ukumbini wadau wakimshauri zitto ajiepushe na kusema sana lakini wapi!
ama kweli sikio la kufa!
ushauri wa bure, hebu kwa kipindi hiki zingatia afya yako na uachane na magazeti.


]]"Nafasi hii sikugombea kwa hiyo kama chama kinaihitaji ni suala tu la kuniambia kwamba wanayahitaji hayo madaraka sio kukaa na kupigakura."[/[/COLOR]COLOR] NIPASHE ambayo ilifika hospitalini hapo kumjulia hali, alisema anasumbuliwa na maumivu ya tumbo na homa ambayo ilimuanza juzi usiku alipokuwa Bagamoyo kwenye kikao cha wabunge wote wa chama. Alisema kwa sasa ana nafuu, lakini anasubiri majibu ya vipimo zaidi. Mbunge mwingine wa Chadema ambaye naye anasumbuliwa na tumbo ni Said Arf wa Mpanda Mjini ambaye naye amelazwa hospitalini hapo.
 
Eti wengi wamepinga ni wapi hao kina Mwanamageuko sema wewe umepinga, halafu tangu lini ukawa na mawazo hayo kwa Zitto???????? Umebadilika lini au wewe ni kupinga kila move yeyote ya CDM, umesahau juzi uliposema Zitto ni hatari leo kavuliwa cheo unasema CDM wamekosea, nitazidi kukumbusha maneno yako haya hadi utakapoyakana, usiwe ndumila kuwili.
Unafaa kuwa librarian. Wanafunzi wezi wa vitabu utawanasa sana :hungry:
 
Kitila is another silent killer and 'yes man' in chadema! he fall in the category of Slaa blind, 'academician'

Kitila failed to explain what credibility he used to appoint special seat MP's. There is a story about him that I am researching, soon after maturity i will publish it here. I have been skeptical about CDM from the beginning, and now we see the true colors.
 
Kitila failed to explain what credibility he used to appoint special seat MP's. There is a story about him that I am researching, soon after maturity i will publish it here. I have been skeptical about CDM from the beginning, and now we see the true colors.


Ukidig down utaona PhD za akina Kitila na Slaa zinawekwa mfukoni kila wakati wakikutana na mtoto wa mjini Mbowe ambaye ni mkwe wa Mtei. matumbo haya ..unaweza kuuza utu wako.

Ukiwaweka kwenye mizani Zito na degree yake na ukampima Kitila na mkurupukaji Slaa utaona tofauti kubwa sana.

Kila la heri mkuu!
 
I see a lot of pretenders here and some few who have concern for Chadema.
If that is the way Chadema was founded to operate (according to their constitution) then there is no problem! It is their constitutional right isn't it?
I cannot see the point of shouting, unless you are sure something is violated. If nothing is violated, stay quiet :whoo:
 
I see a lot of pretenders here and some few who have concern for Chadema.
If that is the way Chadema was founded to operate (according to their constitution) then there is no problem! It is their constitutional right isn't it?
I cannot see the point of shouting, unless you are sure something is violated. If nothing is violated, stay quiet :whoo:

You want all JF to be chadema follower wait......
 
Acha porojo...Mbowe hawezi kuwa ktk malengo yako ya 'giza' na yaliyofilisika. Kwanza wewe sio Chadema. Hakuna mpambanaji mwenye akili 'urojo' kama unavyoonekana kuwa. Hizi ni akili mithili ya akina Makamba na Chiligati...! Wewe unajua taratibu zozote za Chadema kuhusu miiko na misimamo ya kichama? Awali ya yote ungekuwa Chadema ungepima pros and cons za Zitto kuwa 'nyoka' kwa siasa na uhai wa Taifa makini, na ungeweza kupata jibu sahihi kwa yeyote anayechafua 'hali ya hewa' na ustawi, mafanikio na vision ya Chama, sio tu kumvua vyeo bali alitakiwa awekwe ktk kitengo maalumu cha 'urekebishaji tabia' (au detention kama ukitaka), ili kuondoa ukurutu ambao yawezekana wewe na CCM wenzako mnadhamiria kupandikiza ktk kuua Demokrasia na mnahisi mmemnasa Zitto kulitekeleza! Ila mmefeli kabla ya kuanza. Umma unawatizama na utawapa response hatua kwa hatua.

Wasaliti wote, hakuna muda wa kupoteza kuwafikiria...watakula matapishi yao, wataruka-ruka kwa ahadi za fedha za mafisadi na kujilisha upepo, na ila watafutika ktk historia ya ukombozi na Demokrasia ya Taifa punde.

Wimbi linalokuja hakutakuwa na nafasi kwa 'wajinga wa siasa' na wabinafsi kama Zitto anavyoonekana kuwa. Ndio maana CCM ipo ktk pango hilo hilo...! Historia itawapa majibu sahihi. Andika mahala kama kumbukumbu.

Kuna Nyoka kama Mboe? Si ni Mboe ambaye alikuwa anakula pesa za CDM akisingizia kwamba yeye amefanya personal finance 2005, wakati alishindwa hata kutoa receipt ya kiasi cha fedha alichotumia.

Ni Mboe huyo huyo aliyepeleka Bank Yetu Bankruptcy kwa kuchukua loan ambayo mpaka leo hajalipa. Na ni Mboe huyo huyo ambaye yupo kwenye conspiracy ya death ya Chacha.

Ni tofauti gani kati ya RA, EL and Mboe?
 
Hivi wakimvua hicho cheo,hata kumfukuza kabisa inakipandisha chati CHADEMA au inakiporomosha?

Hili swali ndilo wametumia kufikia uamuzi huo?

Je sisiu tunaonaje?
Sion kwanini unaleta suala la kupanda au kushuka chati..
Msingi wa hili ni kuboresha maadili ya viongozi katika chama,thats only,sidhan kama CCM itapanda chat au itashuka ikimfukuza Rostam
 
hatimaye zitto kabwe amevuliwa unaibu kiongozi kambi ya upinzani bungeni, tukio hili pengine la kihistoria limetokea huko bagamoyo, katika semina ya wabunge wa chadema inayofanyika huko. mnamo majira ya mchana jana, yeye mwenyewe aliwasilisha paper na katika paper hiyo alijitetea kwa mengi yanayosemwa juu yake.

baadaye wabunge wa chadema walikutana kwa dharura na katika kikao hicho wabunge 28 walipiga kura ya kutokuwa na imani naye, wakati wabunge 8 wakibakia bila kuwa na msimamao, na mmoja akiwa amepiga kura ya kuwa na imani na zitto

nafasi yake bado iko wazi

chanzo, semina ya wabunge wa chadema inayoendelea huko bagamoyo
Kwa CHADEMA sasa kila kitu ni historia kwani watakuwa wao wanaanza. Yetu macho!!
 
So you don't know even the meaning of pretender? I didn't say anything about Chadema, do you have Chadema fever?
Huyo Waberoya ni Chadema hater kila anachosema kibovu lazima atakihusisha na CDM hata akijikwaa atasema hili jiwe liliwekwa na CDM au Mbowe shame on him.
 
Kitendo cha kukaidi maamuzi ya vikao kwa kutoshiriki kumtoroka JK Bungeni ule ulikwa ni usaliti wa hali yta juu...halafu bado ana akili ya kitoto mno......................kauli zake ni kichekesho sana...........Hongera Chadema kwa maamuzi ya busara.....................
katoka wapi, kapata pesa wapi na lini , mjini kaja lini? wajanja wa mjini wamemzidi kete. bongo daresalama! habari ndiyo hiyo.
 
kaa la moto<Dua la fisi mkono udondoke hilo. Hamna kitu. Jana tu nimepata wanachama wapya 30 na tangu uchaguzi uishe nimesha recruit wanachama 124 hapo unasemaje? au utasema na mimi ni Zitto? Ondoa ujuha hapa. Dua lako halina nafasi.

Kaa la Moto ,Dont panic kama unaungua, look ulivyo na panic za kitoto umezunguka mpaka ukasaga sole za viatu una watu 124 tu, u are only one, unkown personality....you have to be reasonable , hujui political game! hao watu huko kijijini kwenu angekuja ZK one time ungepanga foleni ya watu 5000 at once! na kadi za CDM zingekuishia.. I dream chama makini chenye mipango , mipango ya miaka at least 20 hivi ijayo. Kiwe na programu maalumu ya kupata wanachama wasomi vijana, kuwe na programme ya semina elekezi kutoka kwa wataalamu waliobobea ktk siasa, waendelee kusoma na kufanya kazi zao,(their proffesionals) huku wakiwaelimisha jamii wanamotoka umuhimu wa mabadiliko, uhusiano kati ya kura na maendeleo ya kijamii na hivyo kujua umuhimu wa kupiga kura na kwa nini kuna vyama vingi, haya yote wayafanye kama volunteers wakibadilishana katika vipindi tofautitofauti vya masomo yao,Likizo , PT, disertation na hata wakati na ktk maeneo walimoajiriwa. Aidha viongozi wa juu wawe wanawatambua wanawaenzi na kuwatia moyo, wao wenyewe wawe na programu za kwenda vijijini kwa mwaka si chini ya operation 5, wakafungue matawi na kuwatambulisha vijana wapiganaji katika maeneo yao. n.k Kwa haya CDM hii haiwezi! NINA SABABU.
 
Una neno na Dk? Mbona Zitto na Kitila hujawawekea visifa?

Kama hujui Waberoya ni mchonganishi wa Chadema na mbea soma baadhi ya post zake........unaweza pata kichefuchefu leo atasema hiki kesho kile.
However, we all know JK ni mdini, maana alianza harakati za udini tangu akiwa UDSM miaka hiyo….na hili fuatilieni

Originally Posted by Waberoya
utaona PhD za akina Kitila na Slaa zinawekwa mfukoni kila wakati wakikutana na mtoto wa mjini Mbowe ambaye ni mkwe wa Mtei. matumbo haya ..unaweza kuuza utu wako.
Originally Posted by Waberoya
Nani anayejua Zitto ana mtambo wa kusaga kokoto na alipata tender ya barabara ku-supply kokoto? Is he defending his interest indirectly?

Ukiwaweka kwenye mizani Zito na degree yake na ukampima Kitila na mkurupukaji Slaa utaona tofauti kubwa sana.


quote_icon.png
Originally Posted by Waberoya
Kitila is another silent killer and 'yes man' in chadema! he fall in the category of Slaa blind, 'academician'

quote_icon.png
Originally Posted by Waberoya

I mean we should be careful na watu kama Zitto yes they are bright, mmh! But they might be dangerous for the opposition existence.
quote_icon.png
Originally Posted by Waberoya
Zito angekuwa mroho wa madaraka au vyeo angekuwa mbali kupitia hata CCM!!
 
Mie nimeuliza swali sijapata, CHACHA alikuwa mpigania demokrasia ama alikuwa fisadi aliyekutana na RA ktk hoteli ya kempiski ili kuihujumu chadema kama tulivyoambiwa na Slaa, Tundu Lisu na Mbowe?
 
Back
Top Bottom