Zitto ni kati ya wanasiasa vuguvugu nchi hii sijawah ona....
Jamaa anakaa katikati siku zote kama popo....
Kwamba huo mswada wa madini kwa dharura ndio utakao okoa mashimo yaliyobaki tupu na ukiwa sheria hapo hapo yatajaa dhahabu?
Haya madinu yakiwa yanazungumziwa utadhani watakaochimba ni wananchi...
Uende ukawaite mabeberu hayo hayo yaje yachimbe na wawapangie bei.....waaoh.!
Kiukweli mihemko ya nationalism kwa sasa haina tija yeyote zaidi ya kutafuta kiki za kisiasa...
Huyo Zitto ni mnufaikaji mkubwa wa haya mambo na leo anasema taifa limepata mkombozi..
Hongera wakombozi