Zitto apendekeza mdahalo kati ya Kinana na Dk. Slaa

dr. silaa apambane na kikwete, kinana apambane na singo.
 
Tunataka mdahalo na JK sio Kinana ambaye ni mpambe tu na hana cha kupoteza.!!!
 
Dr Slaa na Kinana ? Kwa nini ? Kinana hajawahi kufikia level ya Slaa na hatoifikia , waungwana siyo kila katibu wa chama cha siasa afananishwe na Slaa , ni kama kumvunjia heshima Dr Slaa , Ina maana Mukama , Makamba , katibu wa Dovutwa , katibu wa APPT maendeleo au Kadawi Limbu wa ADC Unaweza kuwalinganisha na Dr Slaa ? Hii ni kashfa !
 
Dr. Slaa siyo size ya Kinana.

Huwezi kuweka mdahalo baina ya campaign manager na mgombea urais!!

Kinana afanye mdahalo na wengine!
 
Naunga mkono hoja.Isipokuwa natoa angalizo mapema kwamba kumpambanisha Dr Slaa na Kinana ni sawa na kuwapambanisha Kichuguu(Kinana) na mlima Kilimanjaro(Dr Slaa).

All in all tunataka mdahalo huo mapema iwezekanavyo
Teh teh teh..hebu tueleze, Slaa ana sera gani mpya zaidi ya kuongelea ufisadi kila kukicha???
Kinana yupo mbali sana when it comes to politics
 
Kama ni kwa ajili ya mbio za ikulu kinana apambanishwe na zitto ambae ameshatangaza nia ya kugombea urais.
 
Mnaleta utamaduni mpya kwa ccm. Hawajazoea na wakiingia mitini tusishangae
 
Kinana ndiye aliyemshauri JK akatae mdahalo na Dr Slaa, sasa mnatalajia yeye ndio atakubali? hakuna kitu kama hicho.
 
Kinana ndiye aliyemshauri JK akatae mdahalo na Dr Slaa, sasa mnatalajia yeye ndio atakubali? hakuna kitu kama hicho.
Dr Slaa mwenyewe kwanza kwa sasa kajificha, sera zake kwishney na hatumsikii tena. Mdahalo atauwezea wapi?
 
Teh teh teh..hebu tueleze, Slaa ana sera gani mpya zaidi ya kuongelea ufisadi kila kukicha???
Kinana yupo mbali sana when it comes to politics

Very far Kinana! up to Hong kong, with a lot of ivory
 
Chama mbona usiniulize kama namaanisha pembe za Faru?
Molemo
Ulitoa mfano wa mmoja ya mlima mashuhuri duniani ila hicho kituko ulichofananisha na huo mlima haviendani ndipo nilipohoji kama ni ule wa kuchora!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Watanzania bana,

Wanataka mdahalo lakini mtu wao hana mtu wa kudahalika naye nchi nzima. Whats the point?
 

Wanabodi haya ni maneno ya Zitto katika Raia Mwema "Ningefurahi kuona midahalo kati ya Kinana na Slaa kuhusu taifa letu. Nitafurahi kuona shida za wananchi hasa ukosefu wa kazi, umasikini, elimu na afya zinajadiliwa. Ningependa kuona masuala ya namna ya kuvuna kwa ubora utajiri wa rasilimali zetu yakipewa. Ningependa kuona aina mpya za siasa. Siasa za kujenga matumaini kuwa tunaweza kuwa taifa lisilo na ufisadi. Tunaweza kuwa taifa Imara na bora Afrika.
 
Hata ukiwa wa kuchora bado utaitwa mlima tu! Kwani pembe za ndovu za kuchora zikiwa zimesafirishwa na kampuni ya mheshimiwa zikichorwa zikiwa zimekamatwa nchini china utaziitaje?!
Mtoi
Mgosi umesahau kiswahili? Zitaitwa picha!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom