THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,775
kukaaa kimya wakat mwingine kunaficha upumbavu wako uliokuwa nao kichwa.ni bira kama ungekuwa huna jambo la kuchangia ungekaa kimya kuficha ujinga wako uliokusanya kichwaniHakuna kitu hapo kwami dunia hii niyeye ndio ansoma vitabu mbona hawapati huko na huko kujitangaza. Yeye huyu bwana ni mmafiki mkubwa na bahati yao CDM angeliwasambaratisha vibaya mno.
hahahahaahhaaaaa.......umenichekesha sana kaka..........teh teh teh tehHivi Sugu na Lema wanasoma vitabu gani?
Kibajaji ana umuhimu kwenye CCM kuliko mboga=10Mhahahahaahhaaaaa.......umenichekesha sana kaka..........teh teh teh teh
Aiseee!pamoja na kusoma vitabu vyote hivyo,jamaa naye kiingereza chake ni sheeedah. ana-load ile mbaya