Nina hints za maongezi ya Zitto na Gerald Hando wa Clouds Fm
1. Sijaondoka CHADEMA, sitarajii Kuondoka na nilijiunga chadema nikiwa na miaka 16 kwahiyo nusu ya maisha yangu ni CHADEMA
2. CHADEMA ni zaidi ya chama cha siasa, katika vuguvugu hilo wengi wameumia.....
3. Kugombea uenyekiti halikuwa tatizo na nilipoondoa jina langu nilitangaza kuvunja makundi yote....sikuwa na kundi, nililivunja
4.Kuhusu Kfulila...Maamuzi hayakuwa sahihi...kwa sababu haukuwa muda muafaka wa kufanya maamuzi kama yale, CCM wanangombana na sisi tugombane?
5.Kafulila hakufanya kosa lolote
6.Matatizo kwenye vyama vya siasa ni jambo la kawaida
7. Kuhusu kumsapoti Kafulila...
CHADEMA imekuwa ikiharibu matokeo Kigoma kaskazini na sitakubali tupoteze tena. Lengo letu ni kupunguza idadi ya wabunge wa CCM bungeni. Chadema ilikuwa ya tatu na NCCR mageuzi ilikuwa ya pili kwaiyo kura za CHADEMA ukichanganya na za NCCR zinazidi za CCM. Sio Kafulila tu hata wengine kwenye majimbo mengine nitakuwa tayari kutoa muda wangu kuwasapoti
8. Kuhusu kutoa magari matatu....Sina hayo magari..nitayatoa wapi magari yote hayo nadhani ni maneno tu yamekuzwa
9.Siamini kama chadema wataweka mgombea Kigoma Kaskazini na hata wakiweka siamini kama tutashinda sana sana tutagawakura
10. Tarehe 11 Januari nitakuja kwenye vikao vya kamati za Bunge nitaongea na wanachama wa tawi langu la Mwandiga ili tukubaliane kama nigombee tena ubunge au nisigombee kwa sababu malengo yangu mwaka 2006 ilikuwa niwe mbunge kwa term moja tu.
11. Mara ya mwisho kuongea na Mbowe:........Tunaongea mara kwa mara

EEH!
politiksi ngumu sana
tupo sambamba!Mzee umehama siku hizi?
tupo sambamba!
nilikuwa nashangaa ii thredi!
unajua thread za zitto ni kama series fulani inayoonyeshwa kila siku
Inawezekananaje amsurpot mwanahama wa chama kingine ashinde uchaguzi? Hiyo itakuwa kwa maslahi ya chama au binafsi?
Hili la Kafulila alijikanyaga. Halina mashiko. aseme tu anataka kumfuata huko NCCR.

Kwa nini Chadema waweke mgombea mwingine kwenye jimbo la Zitto?CHADEMA imekuwa ikiharibu matokeo Kigoma kaskazini na sitakubali tupoteze tena...
Siamini kama chadema wataweka mgombea Kigoma Kaskazini na hata wakiweka siamini kama tutashinda sana sana tutagawakura
anatia shaka sana katika fikra zake na uadilifu wake, hakika CHADEMA haitamfukuza na wamegundua janja yake ya kutaka kukivuruga chama kwa maana yakutaka kupata umaarufu kupitia kufukuzwa kwake.Kuendelea kusisitiza Kafulila hakua na makosa nadhani ameteleza kidogo.Kama viongozi wenzake waliona anamakosa na kumvua uongozi, si sahihi kusema hana makosa.
anatia shaka sana katika fikra zake na uadilifu wake, hakika CHADEMA haitamfukuza na wamegundua janja yake ya kutaka kukivuruga chama kwa maana yakutaka kupata umaarufu kupitia kufukuzwa kwake.
wamemstukia .