BaabKubwa Magazine
Member
- Aug 6, 2014
- 7
- 3
wamuunge kutungia nyimbo wasaniii
View attachment 176278
Katika kuonesha ukaribu na vijana na utayari wa kutoa msaada wa hali na mali, Mbunge wa Kigoma Kasikazini Mh Zitto Zuber Kabwe amemtungia mashairi msanii wa muziki wa Bongo fleva hapa Tzee Linex Sunday Mjeda, ambaye kwa sasa kitaa anahit na single ya Honga honga.
Ngoma aliyotungiwa na Mh Zitto inategemea kutoka hivi karibuni pamoja na video yake inayo kwenda kwa jina la Wema kwa Ubaya ngoma ambayo imetengenezwa na Maproducer 3 Mo fire Monagangstar &Tuddy Thomas. Video imetayarishwa na Adam Juma. linex amedhibitisha hilo leo wakati mwandishi wa BK alipo mcheki hewani Nikweli wimbo wa Wema Na Ubaya kuna mashairi kanitungia Mh Zitto Kabwe na itatoka na video yake hivi karibuni
Nataka hiyo song DJ mbowe awe wa kwanza kuichea kwenye santuri(yah akumbuke enzi za bills)
Mimi nilidhani ni uzi wa maana kumbe upumbavu...
Mods tafadhali ondoeni huu upuuzi
Barray husein Obama hakuwahi kutunga mashairi ya hipo pu zitto anatungaa!!, vijana hawawezi kumwiga kwa kuwa ni mtu aliyeonyesha kuwauza,kuwasaliti na kuwafundisha kuwa kijana mwenzao hakwenda bungeni na dhamira kubwa ya kuwakomboa kutoka makucha ya chama chenye kulenga siasa za realpolitik ambazo zimelenga:
1. Kuwafanya maskini na tegemezi
2. Daima kuwa kundi la kupiga kura na si kupigiwa kura( kuchaguliwa na kuchagua)
3. Kuishi kwa kutegemea hongo la uchaguzi
4. Kunyimwa uhuru wa kutoa maoni na kukiukwa kwa haki zao za msingi kv uhuru wakujieleza,kutoa maoni,kulindwa na kupatiwa hski za msimgi kama elimu bora,mazingira bora ya kujiajiri.
Inasikitisha zitto aifwe na nani,kijana asue na msimamo,kigeugeu asiyejisimamia mwenyewe, anayeweza kujiona yeye bira kuliko wengine?
1. Kwanza hajengi teamwork ambayo katika utawala na uongozi ni nguzo muhimu katika uongozi
2. Anaweza kuwa mzuri katika ubunifu lakini si mshirikishaji
3. Hana charisma,ushahidi huu ni pale, chama chake kimeshindwa kujijenga maeneo ya kigoma na kuzalisha uasi
nitamuiga kwa lipi?
Nia yenu mnataka zzk arudi kuwalamba miguu hao wahafidhina wenu(Mbowe&Slaa)ndomana povu haliwaishi.Jueni kuwa Zzk ni Chuma cha Reli kamwe hawezi kukubali kuwa msukule kwa watu kama mbowe na slaa coz anawazidi IQ kwa kiasi kikubwa mno.