Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
aka viroba akili ataipata wapiKuna mada huju JF niliyoleta kwamba Lema afungwe gavana, lakini utetezi uliokuja na kunirushia mawe wanajua wanachadema wenyewe. Ukweli unabaki mgema akisifiwa tembo hulitia maji. Ile ya kumrushia tofati Mwigamba Arusha haijaishia huko na sasa Lema anaanza kupambana na viongozi wa Chadema mitandaoni, hiyo ndiuyo niliyosema Lema hana busara, ana kiherehere, hafikirii kitu anachokifanya kabla ya kuchukua uamuzi, anashindwa kutumia vizuri ubongo wake. Afungwe GAVANA.
wabunge wanywa viroba na bangi hawatufai
...teh teh nayale mamilioni yaliyofichwa ujerumani ungeyakataa ningejua kweli wewe ni muungwana,kwa siri unatafuna,vinavyoonekana unavikana. Kumbuka wanaokusaidia ndo wanatoa siri ikiwa pamoja na mmoja wa wahasibu wa Mohamed enterprises jina kapuni kwa usalama wake...
Uroho wa madaraka:Mtu mwenye njaa anaamimi kupitia madaraka aliyonayo anaweza kutimiza malengo(mahitaji) yake.
Kung'ang'ania madaraka:Mtu mwenye njaa ana sifa ya kung'ang'ania madaraka kwani akiacha njaa yake haitaisha.
Majungu,fitina,uongo na umbeya:Mtu mwenye njaa siku zote hutumia mbinu chafu ili kumuhujumu yule ambae anaamini kuwa ni kikwazo kwake katika kuondokana na njaa yake.
Ubinafsi:Ubinafsi siku zote ni matokeo ya njaa.
Sasa wakati tunatamani na kulilia ukombozi tunapaswa kujiuliza kama wanasiasa wetu si watu wenye sifa hizo za mtu mwenje njaa.
Chama cha siasa ni "team work",hivyo kama kuna mchezaji ana njaa na akaamua kuhujumu wenzake ushindi ni ndoto.
viva zito kabwe the man of the people
Watanzania wa wapi sema wana Arusha wa maeneo ya Sakina na Stendi ya vifodi.yote haya watanzania tunayaona. na pia ni uzalendo kutoka kwa mzalendo mwenye uchungu na nchi yake.
shida iko pale anapokataa posho halafu anachukua mabilioni gizani, ambayo ndiyo malipo ya hovyo kabisa kupita zote. kuna maana gani ya kukataa posho za wazi halafu gizani anapokea mabilioni ambayo ni kodi za watanzania?
Lema na wenzake wanasema kuchukuwa posho siyo dhambi. Kumbe Zitto kwenye posho kaishatoka yupo kwenye misamaha