Hakufukuzwa lakini kuna mambo hakukubaliana nayo na ndiyo yaliyomfanya aondoke Chadema kwenda NCCR. Kuna mabadiliko yoyote katika hayo mambo ambayo yalimfanya aondoke? Kama jibu ni Hapana, hauoni kama ana ramba matapishi yake mwenyewe?CHADEMA haijawahi kumfukuza Kafulila, ila alivuliwa wadhifa wake kama msemaji , yeye mwenyewe ndio alijiondoa. . . .
Akija hakuna kuramba Matapishi. . ! Kwakua hatuwahi kutapika.
Binafsi siungi mkono hoja ya chama kuchagua mtu mbadala, nina sababu, si kwamba sioni umuhimu wa gharama bali itawaongezea umungu mtu wenyeviti, chukulia sakata la NCCR leo Mbatia angeshapendekeza mbunge wake baada ya kufanikiwa kumfukuza Kafulila. Vilevile wabunge watakuwa hawafanyikazi zao kwa uhuru kwa kuhofia kutimuliwa wakati wowote, pia itaongeza majungu ndani ya chama kiongozi akitofautiana na mbunge au akitaka mtu wake awe mbunge anaweza kumzushi jambo lolote mbunge aliyepo ili aondolewe kwa vile kutakuwa hakuna uchaguzi wa nje.Mi nadhani kungekuwa na utaratibu hali kama hiyo inapotokea chama husika kiteue mtu atakayechukua nafasi ya ubunge sio kurudi tena kwenye uchaguzi inagharimu muda,energy na fedha nyingi.
Ina maana tatizo kama hilo likitokea kwenye chama kingine uchaguzi ufanyike tena!
Mi nadhani kungekuwa na utaratibu hali kama hiyo inapotokea chama husika kiteue mtu atakayechukua nafasi ya ubunge sio kurudi tena kwenye uchaguzi inagharimu muda,energy na fedha nyingi.
Ina maana tatizo kama hilo likitokea kwenye chama kingine uchaguzi ufanyike tena!
hapana hapa unakosea kwa sababu kafulila ni mbunge na anahitajika na wananchi wa kigoma hivyo sio swala la kukifaa chama bali wananchi. Ni wananchi wanaomtaka kafulila na sii kwamba tunamtaka kafulila ktk uongozi wa chama.
Mbatia amethihilisha kuwa anafanya kazi na CCM 2 kwa kumfukuza KAFULILA. Kama hamjui huu ndio mwisho wa NCCR kwasababu sera ya cdm katka uchanguzi Kg ni kwamba NCCR =CCM.kwa jinsi KG walivyoonyesha hasila kwa CCM 2010 yatawapata yale ya CUF kura 1000. hilo halina ubishi
Kafulila ili akubalike Cdm. lazima kwanza zitto akiri alifanya makosa kumpingia kampeni kafulila hali kulikuwa na mgombea wa Cdm.
naonya kwamba wawili hawa kwakuwa wanaeliment za kupenda uongozi lazima apewe masharti ya kutogombea nafasi yoyote ndani ya chama labda ubunge 2 kwa muda wa miaka iciyopungua mitatu.
kusema ukweli kafulila na zito wanapenda madaraka hivyo kuwekwa pamoja watasababisha matatizo katika chama chochote watakapokwenda tatizo hawatosheki