chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
zitto eeee, skia nikwambie....kwa umri wako bado una nafasi. kufanya kosa ni kosa lakini kurudia kosa ni kosa kubwa sana. fanya maamuzi magumu mdogo wangu, watafute wenzio cdm, waombe msamaha rudi kwenye chama ukapige kazi. kweli zitto nakuambia. otherwise kaka you are killing yourself politically. mbaya zaidi ni pale unaposhambulia upinzani badala ya kushambulia ssm. ujue ssm nako una maadui lukuki ambao mashambulizi yako dhidi yao bungeni yalivuruga sana mishe zao. usalama wako ni ndani ya cdm na ukawa kaka vinginevyo una hali mbaya sana. usije ukashangaa hata ubunge kighoma vijijini au mjini ukakosa na ssm ndo wapanga mikakati wakubwa kuhakikisha hurudi bungeni. maadui zako kisiasa watakuwa wengi sana. yaan hawa kina ritz ndo kabisa wanataman ufe hata leo, usione wanakushabikia kinafki hapa...labda kama umeamua kupambana na upinzani kiukweli hapo utawaona kina ritz wa maana. vinginevyo basi amua kujilipua bomu kabisa, jiunge na ssm wakakumalizie mbali vizuri.
ulikosea lakin tunaamini una uwezo. kipaji chako kinapotea bure kwa kudanganywa na kina mwigamba na kitila. rudi bomani kaombe msamaha. nakuchukia sana kwa uamuzi wako wa kugombana na upinzani tanzania, lakini pia nakusikitikia kwa hali hii, nakuonea huruma sana kutoka moyoni nikikumbuka kazi zako bungeni, wewe ndo ulinifanya niifikirie siasa mara mbili mbili na sasa mimi ni mwanasisa kamili. ulikuwa role model wangu zitto....
Zitto nani amekulogaaaaaaaa, zitto umekula maharage ya wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, rudi kundini mdogo wangu, kaombe msamaha, nina uhakika Watanzania wanamapinduzi watakuelewa. Jifunze kwa kina Wassira,....walipotea lakini baadaye walirudi. nje ya ssm wasirra asingekuwa alipo leo, nje ya cdm zitto you are just lost my young bro.
hivi kweli wewe zitto of all the people leo hii umekuwa ni wa kugombana na upinzani Tanzania badala ya kugombana na ssm????????!!!!!!! kweeeeli zitto?????!!!! unajipoteza kamandaaaa, daaaah!!! inaniuma sana!!!
acha matusi video ipo wazi kabisa zitto hana hata hadhi ya kuogopwa na wana mbeya kwanza sio jadi yao kuogopa mtu zitto ni irrelevant atazomewa sana ni majibu na faida za mtu msaliti mtu asiyejua kufikiri anayeendeshwa kama robot mtu anaye hang kama zitto mbeya atazomewa tu kama alivyozomewa geita kigoma makambako na shinyangaSiasa ndio zilivyo hapo sijaona Zitto alipozomewa km
hizo ni husda za wana chadema Mbeya kumuogopa Zitto
- mpiga video hujaenda Jukwaani
- hujaonesha uwanja wote
- unajichukulua picha yako na kuzomea mwenyewe
- na hata mkutano haujavurugika uliendelea km kawaida
jipangeni alishawabebe sana sasa kajitenga
eti kila mahali wanapozomea zitto hayupo !
huna hadhi kubali yaishe zitto ulikuwa zitto ukiwa chadema usaliti wako unakufanya uwe na stress unatia huruma mwiguru kitila wanyiramba walikuramba akili pole kijana mzeeVijana wa CDM na viongozi wenu kweli mmeshikwa pabaya sana. Mmeona jamaa anakubalika mpaka kule ambako hamkufikiria sasa mnajitekenya na kucheka wenyewe.
eti kila mahali wanapozomea zitto hayupo !
huna hadhi kubali yaishe zitto ulikuwa zitto ukiwa chadema usaliti wako unakufanya uwe na stress unatia huruma mwiguru kitila wanyiramba walikuramba akili pole kijana mzee
Kipi kimepungua? Zitto wa CDM amepungukiwa na nini kama ni pakumwagia sera zake za kuwakomboa watanzania bado anapo sasa wataka nini? Duh!! Kweli husda ni ugonjwa usio na tiba.
Wenzenu wanavyeka mapori 2.
http://www.youtube.com/watch?v=Sf1PaBhS2Ms iliku ni aibu ya mwaka. Zitto alipo zomewa mbeya mjini, najua atasema sio yeye lakini ushahidi huo hapo juu.
Mods mnaweza ifuta kama mtahisi inawakera kama mlivyo fanya kwenye ile ya Tunduma.Lakini ukweli hauta futika kamwe
hii mbaya sana
Duh tena? Kuna mpambe wake mmoja anaitwa Ludo anasema sio kweli.
Adhabu yote hii ya nini? si arudishe hela za Ccm aachane na siasa?
Ataweka tweet kama jana kuwa hajazomewa na wala hajawahi kufanya mkutano Mbeya .......Usaliti malipo yake ni hapahapa duniani.....
Shetani ni shetani tu.....
Mcubic mambo si mazuri kabisa njoo huku ila uwe mvumilivu
Hivi zito anajitetea? Anajifagilia? AU anajenga chama? Wanaomwelewa nisaidieni.
Zitto siasa imemshinda, namshauri arudi tu nyumbani kigoma akavue migebuka maana hata Ubunge hapati mwaka huu!