DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
nani kakwambia huwa zinarudi?Adhabu yote hii ya nini? si arudishe hela za Ccm aachane na siasa?
Muda mnaotumia kujitekenya na kucheka wenyewe, mngetumia muda huu kupanga mikakati ya ushindi na uchaguzi ndio umefika,
Subirini matokeo ya mwisho mje kulia kama mmeibiwa kura,
Ni juha pekee asiejua nguvu mnayotumia kuaminisha watu kama Zitto kazomewa, nani hajui kazi yenu?
Mmesahau lile dili la kumteka Slaa pale ufipa lilivyobuma?
Nimemsikia kamanda aliyechukuwa video na simu akiwapanga wenzake .."kasimamie kule".... hahahaha! hivi ninyi mna akili kweli..?
Adhabu yote hii ya nini? si arudishe hela za Ccm aachane na siasa?