Zitto alitabiriwa na sasa imetimia

Nasubiria Zitto afukuzwe tuu...Imetosha sasa...

mkuu, mie pia ni mwanaCDM lakini nakuomba bila jazba soma mada inayozungumzia alichokuwa anapigania marehemu chacha wangwe kisha oanisha na madai ya 'wasaliti' wa sasa uone kama kuna tofauti - kubali kata mbowe ni tatizo!!!
 
Mods watakuja kuifagia thread sasa hivi,sijui ofisi za jf za u-mod zimehamia Mwandinga kwa muda??!!

Binafsi nshatundika threads 3 zenye reliable source kuhusu Zitto na mradi wake wa undumi la kuwili lakini haikuchukua dakika katika siku tofauti tofauti kufutwa!!

Wanamwogopa kwa vile "ameaga" Kigoma na hasiti kumaliza hata panya. Ha ha ha
Kweli yalitabiriwa na hakutaka kujitafakari. Zitto ana kiburi cha aina fulani kisicho na faida na asipoangalia huu ndio mwisho wake kisiasa.
 
Mbowe mvumilivu sana, ningekuwa mimi ngeshampifa xhini huyu pimbi..
Mvumilivu sana sana Mbowe,hakuna asiyefaham jinsi Zitto alivyokuwa amekitosa chama. Ni sawa na kumkuta mke wako kashkishwa ukuta halafu umlilie badala ya kuhoji {ikiwezekana kipondo} eti kwa kuhofia atakuacha! Shenzitype
 
wakuwaza, yote kwa yote. Inabidi uchaguzi uitishwe na watu wachukue fomu waende kupambana mbele ya baraza (Mkutano mkuu)
 
Alivyonavyo vinamsaidia yeye na Familia yake.Cha msingi arudi kigoma kula migebuka kwa Mawese.

Hapana, asirudi kigoma. Aende tu ccm kama walivyotangulia huko teamzito, made up of mshonza, machange & co.
Si wanamwona eti "jembe" (teh tee tee teh), basi wamchukuwe haraka sana wampe na uwaziri na kile cheo cha nchemba.
 
Chadema hawatakua na ubavu wa kumfukuza ZZK

Mkuu nyie subirini kunyolewa acheni kuweweseka. CDM ina nguvu ya kumfukuza Zito muda huu kuliko muda wowote ule katika siasa za CDM. kwa mtu yeyote makini anayefuatilia matamko yote yanayomtetea Zito atakuwa ame-note kitu. Hivyo ZZK akifukuzwa wale wote waliokuwa wanakula pesa ya ccm kupitia yeye yatakaa pembeni. a

Viva CDM, Viva Kamati kuu.
 
uliweka post hii unamatatizo yaani unafananisha power ya zitto na kaburu? Yaani nyie chadema kweli hamfikirii mnawaza maandamano tu. Yaani zito kabla kufukuzwa balaa je akifikuzwa ? Fikirieni nyie watu mnauwa chama hicho, kumfukuza zitto ni sawa na kung!oa jino bila ganzi utaumia wewe

We shida yako ni nini ikifa?? Fukuza viruzi vyote ndani ya CDM.
 
Mods watakuja kuifagia thread sasa hivi,sijui ofisi za jf za u-mod zimehamia Mwandinga kwa muda??!!

Binafsi nshatundika threads 3 zenye reliable source kuhusu Zitto na mradi wake wa undumi la kuwili lakini haikuchukua dakika katika siku tofauti tofauti kufutwa!!

Haha..zangu nyingi sana nimeshuhudia zikitengenezewa parallel for sometimes halafu wanaunganisha,nyingine wanafuta kirahisi.Ila siku hizi na mods nao si wana kaushindani cha kuanzisha threads.Threads za kuwachukia wachaga ,ukristu zinapaliliwa sana humu.Thread za kuiponda CDM na mengine ya ZItto hata kumi zinaachwa ..
 
uliweka post hii unamatatizo
yaani unafananisha power ya zitto na kaburu? Yaani nyie chadema kweli
hamfikirii mnawaza maandamano tu. Yaani zito kabla kufukuzwa balaa je
akifikuzwa ? Fikirieni nyie watu mnauwa chama hicho, kumfukuza zitto ni
sawa na kung!oa jino bila ganzi utaumia wewe

we kinakuuma nini sisi tuking'oa jino bila ganzi?? mijitu mingine banaa!!!
 
Mods watakuja kuifagia thread sasa hivi,sijui ofisi za jf za u-mod zimehamia Mwandinga kwa muda??!!

Binafsi nshatundika threads 3 zenye reliable source kuhusu Zitto na mradi wake wa undumi la kuwili lakini haikuchukua dakika katika siku tofauti tofauti kufutwa!!

Ebu zitupie tena ndg, wengine hatukuweza kuziona za huyu mnafiki. Afu tuone tena kama watazifunga.
 
Back
Top Bottom