uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Zitto is a profesional perpete!
Watanzania mtakuja kumuelewa zitto tayari ameshamaliza kazi yake cdm.anauma na kupuliza lwa kifupi ni ndumilakuwili.after a shorttime lazima atafanya kituko kingine cdm.professa safari for presidency 2020
Lete ushahidi wa kimaandishi humu JF..uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Hivi huyu makinda ana tatizo gani? kila msema uongo bungeni akiumbuliwa humficha kwa kudai taarifa ya maandishi ambayo huiatamia ofisini kwake!!! Naomba ipelekwe hoja ya mbunge kupeleka hoja kwa maandishi baada ya kusema ya moyoni wazi pale mjengoni. Maana huyu mama ameficha taarifa nyingi sana ambazo zililenga kuwafichua viongozi wanaolidanganya Bunge, wa kwanza ni PM( HOJA ALIYOTOA LEMA)
Spika Makinda ama haelewi maana ya uspika au anatenda asichojua au ana amua bila kufikiri
The guy is really very smart!
Malima too, has to go!
Jamani watanzania ttz sio malima, mawaziri nane au pinda.. TATIZO NI MSANII MUUZA SURA KIKWETE MRISHO JAKAYA jamani
:mad2:
Mbona Salim Ahmed ni Handsome ilikuwaje akazaa naye?
Enzi zake labda alikuwa mashine
ni mbaya wa sura mpaka roho
Zito huwa anawasiliana nini na Rostam??..
Chezea TISS wewe!!
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Jamani mimi mwenzenu nimemkumbuka Mr. Smart and Speed (Samwel Sita); naota namuona pale mbele kwenye kiti cha Anna, na kuunga kubaliki hoja ya Zitto.
Sasa naamini kwanini Sitta alimkatalia Anna Makinda asisimamie Kikao Cha Bunge Kusikiliza Ripoti ya akina Mwakyembe. Sitta alijua wazi huyu mama angeizungusha na kuiua. Huyu Mama kwa kweli hana huruma na matatizo ya Watanganyika