Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,910
- 445
Ni kuhusu migodi ya madini, nimekuta akitakiwa na spika kuleta taarifa yake kwa maandishi. Nimechelewa chanzo chake. Aliyesikia kwa mapana tafadhali.
Mhe Zito anasema mawaziri wa Madini wanasema uongo,anamwambia apeleke kwa maandishi,wakati walishapeleka kupitia kamati yake,maana yake nini!?
Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema
"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"
Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika
Mh Waziri na naibu wake walikuwa wakijibu swali kuhusu kiwira Coal, sasa Zito kasema wametoa taarifa ya uongo na akajaribu kuweka mambo wazi, ndio speka akaomba apeleke taarifa ya maandishi ili serikali itoe majibu
Kama kuna ukweli wa tuhuma za Zito, mbona hali inatisha?
Mwaga hizo data za Zitto hapa! Vinginevyo, wivu unakukereketa!uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
sawa mkuu lkini ukumbuke njo vile kuna makanisa mengi sababu ya tafsiriHapo ndipo mnapotaka kuchakachua maandiko matakatifu ya biblia.
Unataka watu watulie kwa kuwa tumefundishwa kupenda hata maadui?
Huyu Bi Kidude amekuwa na tabia ya kulinda maslahi ya mafisadi, na kuwakandamiza wananchi wa nchi yetu.
Personally I real hate the way anavyoongoza bunge. it's real pain
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.