Mbingo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 411
- 230
Ni dhahiri mwanasiasa huyu machahari hapa Tz na msomi kijana amekosoa huu Utafiti kwa hoja
1. Eti mitandao ya kijamii 1% na TV 4% radio 64% wakati tunajua mitandao ya kijamii ndio inaongaoza kuzungumzia siasa na hata kumkosoa Mkuu wa kaya.
2. Eti mkuu anakubalika kwa 96%, huo Utafiti utakuwa ulifanyikia kule kwenye sangara na watu wasiofanya kazi yoyote maana mtu anayefanya kazi yoyote ameshaparuriwa. Ukweli ni kuwa huyu mkuu 45% zinamtosha warudie tena huo Utafiti.
Maisha ni magumu jamani kwa sababu za matamko yake.....!!!!