Zimbabwe nao walianza mchezo kama huo. Watanzania wanapenda amani but hivi vyombo vya dola vinavyomilikiwa na familia ya JK ndiyo wanataka kutuletea tabu. Hiyo amani ya Tanzania siku moja itakuwa historia........"Hapo zamani za kale Tanzania ilikuwa ni nchi..............."
Hawa watu lazima tuwawajibishe kwa maslahi ya Taifa. Hakuna cha usalama wa Taifa wala mavi......Watanzania tunajua nguvu zetu zilipo. Hizi movie tumeziona huko Arusha, Ubungo, Nyamagana lakini hatimaye.........nguvu ya umma ilisimama.