Zitto akamatwa na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto akamatwa na polisi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MILTON, Nov 4, 2010.

 1. M

  MILTON Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ZITTO VIPI
  amaechiwa na Polisi,inasemekana alikuwa ameshikiliwa na polisi -Kigoma
   
 2. M

  MpitaNjia Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uonevu huo, tusije tukasikia baadaye ame-kolimbwa!
   
 3. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakamate Watanzania wote basi, wametuchosha hawa watu kukamata kamata mmoja mmoja
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ile issue ya mabomu na risasi za moto ni soo.
  Polisi lazima wamwambie akanushe ili kuua soo
   
 5. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Zimbabwe nao walianza mchezo kama huo. Watanzania wanapenda amani but hivi vyombo vya dola vinavyomilikiwa na familia ya JK ndiyo wanataka kutuletea tabu. Hiyo amani ya Tanzania siku moja itakuwa historia........"Hapo zamani za kale Tanzania ilikuwa ni nchi..............."

  Hawa watu lazima tuwawajibishe kwa maslahi ya Taifa. Hakuna cha usalama wa Taifa wala mavi......Watanzania tunajua nguvu zetu zilipo. Hizi movie tumeziona huko Arusha, Ubungo, Nyamagana lakini hatimaye.........nguvu ya umma ilisimama.
   
 6. J

  Jacque George New Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tehe tehe...!hapo ndipo.hatuwezi kuibadilisha 1+1=2 kuwa 11.ukweli husimama kivyake siku zote tatizo wa-tz hawapendi kuambiwa ukweli.Dkt Slaa yeye aende mbele>mahakamani >awaambie wahisani>Mwenyezi Mungu.tutajua mwisho wa siku.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wanajaribisha pa kushikilia wanakosa...Ujinga tu, hawatafuti source ya matatizo, wanakimbilia kwenye kusuppress outcome..shit!
   
 8. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Kwa maelezo ya kina na picha kuhusu Zito na yaliyotokea Kigoma bofya hapa: Zitto na Demokrasia
   
 9. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  huyu dogo zitto sifa zitamharibia, dogo anapenda sifa huyu
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Kwenye hizi siasa za bongo, nani hapendi sifa?
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh mwisho wake watamuua!!
   
 12. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #12
  Nov 6, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  hakuna ataemuua hata mmoja, mwisho atachuja na watu watampotezea tu
   
 13. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hakuna wakumuua, Zito yupo poa; wee unamwonaje?
   
Loading...