Zitto ajilipua, tusimtose

Nimewahi kusema uongozi huu ndio dhaifu kabisa kwa ushindani wa kisiasa. Na hili limedhihirika kwenye chaguzi mbalimbali za marudi zilizopita. Ni suala la muda tu wananchi waamke. Hapa Zitto kapiga mlemle
 
Bado waTanzania kwa wingi wao hawajawa na common enemy kama ilivyokua Tunisia au Egypt. Kwa sasa labda wapewe elimu zaidi ya uraia ili siku wakiulizwa kati ya maji na katiba wanataka nn wajue nini wanataka.
Viongozi wa kisiasa(upinzani) labda wasiwe wafanyabiara watakua wazuri kwenye organizing.
 
Akili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti
Mawazo yako wewe, wampakazia Zitto eti alidhani atakuwa nani sijui??
Anaanzaje kutamani kuwa tarumbeta! awe wa kupulizwa tu na kutoa sauti aitakayo mpuliziaji bila ya khiyari yake?? unadhani hao wanaoitwa mawaziri wana uhuru sawa wa kufikiri na kuamua kwa utashi wao?? Zitto hawezi kutamani kuwa tarumbeta bana....
 
Wewe utakua zitto mwenyewe,sizitaki mbichi hizi,hadithi ya sungura na mkungu wa ndizi zama zilizopita
 
Wewe utakua zitto mwenyewe,sizitaki mbichi hizi,hadithi ya sungura na mkungu wa ndizi zama zilizopita
Na hivi ndivyo tunavyowapambanua juu ya uwezo wenu wa kufahamu na kufikiri..
kwa kukusaidia mimi sio Zitto Kabwe.
 
Leo rpc wa chuga alikua anaenda kumkamata matokeo kaishia kupiga mzinga sijui kama hajafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…