Zitto ajiingiza kwenye uchaguzi wa TLS, awataka wajumbe wamchague Masha badala ya Lissu

Hata Masha sio mbaya. Kumpa Lissu kazi hiyo itachanganywa na siasa. Wadau mnatambua muonekano wa viongozi wa upinzani na serika and vice versa. Maamuzi ya Lissu yataunganishwa na upinzani, ni bora huyu ambaye hayuko active lwa sasa
 
Utamu wa mchezo huu mtauona mwishoni mwa hizi kampeni. Sio ajabu baada ya serikali kuona itagonga ukuta itajigeuza kutaka Masha abebwe na Lissu aangukie pua lakini wakifika ukumbini mgombea Masha anajitoa nakuomba kura zake apewe Lissu. Mchezo umekwisha
 
ZITTO HUWA ANA AMINI JASHO LAKE ALILODAI LIKO CHADEMA NA YY ANGEKUWA WA MWISHO KUONDOKA CDM LILI ANGAMIZWA NA TUNDU LISSU.

HIVYO NI KINYONGO NDIO KINACHO MSUMBUA.
 
Humu nimeamini kuna wasekondary. Kama jamaa aliyesema kule kwingine. Sifa sio ameshafanya kazi gani. Bali ameshabishana na nani. So nani mpuuzi wewe au wao. Mwacheni Zitto atoe nia zake kama wewe unayetaka kumchagua kiranja aliyetelekeza jimbo lake na kuwa mbishanaji na serikali. Haya njooni shule ya msingi mbishane. Afu tunatka demokrasia. Mmeona ilivyo ngumu kwenye ideas tu.
 
Back
Top Bottom