Zitto ajiingiza kwenye uchaguzi wa TLS, awataka wajumbe wamchague Masha badala ya Lissu

Acha uchonganishi!! Alichofanya Zitto ni ku-post bango la Masha!!! Ni wapi amewataka wajumbe wamchague Masha?! BInafsi sijaona labda nisaidie wewe!!

Masha na Lissu wote ni CDM....hakuna ubaya kwa zitto kupendelea mmojawao.

Halafu hili swala linawahusu Wanasheria wa Tanzania Bara tu,
Hayo ya Chama sijui yanaingiaje na kibaya zaidi kuna watu TLS ndiyo mara ya kwanza wameisikia mwaka huu.
Hizi siasa chafu za CHADEMA na CCM zimeleta laana hapa nchini kwetu.
 
Sisi wanasheria hatuwezi kupoliticize chama chetu. Hao wote ni wanasiasa ambao wanataka kutumia chama chetu kutimiza malengo yao ya kisiasa...

Abadan hatuwezi kufanya kosa. Mwanasiasa hata ufanyeje ukimpa kaupenyo lazima aingize siasa tu.
 
Back
Top Bottom