CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Sijaona mahali ulipomuonyesha mambo ya kuzingatia kama ulivyotaja kwenye title
Pamoja na mengine ningependa matendo yake yautangaze uzalendo wake zaidi kuliko kujitangaza.
Sijaona mahali ulipomuonyesha mambo ya kuzingatia kama ulivyotaja kwenye title
Mkuu Asante naona attachment uloweka haifunguki.
Aisee kama hayo unayosema ni kweli mbona hilo ni balaa sasa.
Ngoja kwanza niingie maabara kupata uhakika wa hiyo hesabu yako. Ilo agizo ni la nani kwa naibu waziri? Hii inji inaelekea wapi tena.
Nyie ndo mnasababisha watu waamini propaganda za kuwa ACT ipo ajili ya CCM na inapata fadhila hizo.
Haiwezekani mashabiki au makada mnaojipambanua hapa ni wanaCCM eti hao hao ndo muwe washauri wa ACT. Kuna kitu hakipo sawa hapa, ila muda utasema tuu.
Mkuu Asante naona attachment uloweka haifunguki.
Aisee kama hayo unayosema ni kweli mbona hilo ni balaa sasa.
Ngoja kwanza niingie maabara kupata uhakika wa hiyo hesabu yako. Ilo agizo ni la nani kwa naibu waziri? Hii inji inaelekea wapi tena.
A.yatollah msaliti alikuwa anaomba shilingi 700 millioni toka kwa Mwigulu ili kuendelea na kazi ya kuisambaratisha/kuiua CHADEMA na pia kuomba nguvu zaidi kwenye social media nchini (kama unavyoona Buku 7 wote sasa wanapigia debe act usaliti hadi povu) jitihada za wengi kuweka mawasiliano hayo hapa mpaka sasa zimegonga ukuta kila ikiwekwa inafutwa.
Mkuu wangu naona hata Ayatulah ukimwandika kwa usahihi inazimwa kabisa!!!
Duh nchi hii iko kazi walioaminiwa wanawamaliza waliowaamini!!!!
Prof ameambiwa awaongezee posho

Naelewa sana Mkuu RockSpider. Miaka michache iliyopita mtu angeniambia kwamba JF inaweza kuwa kama ilivyo hivi sasa katika juhudi kubwa za kuidhoofisha CHADEMA ningembishia kwa nguvu zangu zote lakini tunajionea hali halisi ya hili jamvi lilivyobadilika ukilinganisha na miaka michache iliyopita.
Mkuu hii kitu sijaipata aisee. Ebu nipe link PM nizifuatilie nami nifumbuke.
Kama hayo ni kweli basi mbona hali ni tete sana huko October. Milion miasaba kila baada ya miezi miwili? Na watu wa media waongezewe posho? Huu ni muda wa brothet wangu Pasco kupiga hela.
Jamvi ambalo tumechanga hela zetu kupata hela za hosting duu madem melo
Propaganda za kijinga. Anatamba utafikiri yeye ndiye mbunge wa kwanza kuongoza kamati iliyowaondoa mawaziri....... kwani Mwakyembe alipoongoza ile tume ilikuwa kwa ajili ya kuiangusha serikali ya CCM!!? Hata kabla ya vyama vingi tume na kamati zilikuwepo na watu waliwajibishwa. Hata wakati wa Mkapa, kabla ya Zitto bungeni kuna mawaziri walijiuzuru.
Zitto inaelekea hakujua kazi iliyompeleka bungeni. Maana inaelekea mawazo yake yalikuwa ni kuiangusha serikali kupitia Bunge. Hivi kweli kwa akili yake serikali ya kiafrika inaangushwa bungeni kirahisi hivyo!? Yaani CCM wachakachue kura halafu uje uwaangushe na Escrow!?
hoja inavunjwa kwa hoja sio kuleta ushabiki humu.ukisikiliza zitto anahoja zenye mashiko
Hayo mengine ya nyumbani kwake ana ma sofa ya kichina, na umemuona anaendesha Hummer, hayo I don't care a lick kujua mwanamme mwenzangu anaendesha gari gani, huo ni upashukuna. Twende kwenye hoja.
Zitto hajasema pasipo yeye hakuna kitu kingefanyika bungeni, ongea ukweli. Bali ametoa mifano mitatu ya kazi alizoongoza bungeni ambazo zimesababisha kuangushwa mara tatu kwa mawaziri wa C.C.M.
Swali lake: Iweje kibaraka wa C.C.M. awashinde wakereketwa wa CHADEMA katika kazi za kuiangusha C.C.M. bungeni?
I mean, that is the most poignant question ever posed in the history of intra party conflicts in the country.
Msaliti anaepeleka siri za upinzani C.C.M., kwa nini yeye ndio anaongoza kampeni zenye mafanikio za bungeni za kuparaganyisha serikali ya C.C.M ?????????????????????
Ngoja nikitulia Mkuu nitaiangalia kama nitaweza kukutumia inabidi uwepo JF ili ikiingia tu ucopy kabla haijafutwa.