Zitto afaa kuteuliwa kuwa PM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto afaa kuteuliwa kuwa PM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, May 20, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Siasa ni mchezo wa ajabu. Katika siku za karibuni Zito alitukatisha tamaa sana. Gafla amerudi kwa kasi ya ajabu, amekisikia kilio chetu. Nadhani alidanganywa na RACHEL sasa ameona hamna dili. Kwa kasi hii naona Zito anafaa kuteuliwa kuwa PM 2015. Kwanza ametoka mkoa ambao hauhusiani na kaskazini, ni mwislamu, ni shupavu, ana brains na ni mzalendo. Zito tulia, kaa na wazee vizuri, acha tamaa, usiwaangushe wananchi,imarisha mataji wa vijana, pambana bungeni na wapinzani wenzako, rudisha mkoa wa kigoma chadema, nakutabiria makubwa.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mode, ipeleke hii thread kule kwenye jokes.
   
Loading...