Zitto, ACT itakufia rudi CHADEMA

Wana bodi amani iwe kwenu kufuatia waanzilishi wa ACT WAZALENDO kuendelea kudhihirisha kuwa Act ilikuwa ni ya kupunguza kura za upinzani kwenye uchaguzi wa 2015 sasa tumeyaona na tujiandae kununua ofisi zao maana hakuna chama tena.
 
Back
Top Bottom