Wakati Mbowe anatolewa bungeni baada ya vurugu Huyu ZZK alikuwepo kweli bungeni?
Zitto naona amekosea stepu. Anachofanya sasa ni kutaka kuuchonganisha uongozi wa CHADEMA na wanachama wake. Kwa suala Mbowe au Dr Slaa kupokea michango kutoka kwa watu walio wanachama wa vyama vingine au itikadi tofauti na CHADEMA haina maana ya usaliti. Michango ya kichama au kampeni za uchaguzi inakuwa 'regulated and accounted for the cause for it'.
Zitto ametaja pesa za Mkono na Rostam tu. Nashangaa kama yeye ni mkweli mbona hakutaja pesa za ponjoro Mzee Sobodo ambaye pia ni mdhamini (Trustee) wa CCM. Naamanisha zile millioni 100 (alizotoa kwa CHADEMA mara x 2 au 3 vile?)?
Ukweli ni kuwa kuna watu wengi wameichangia na wanaendelea kuichangia Chadema kama taasisi wanayoiamini kuleta mageuzi ya kweli. UMETOA POINT NZURI SANA KAKA TENA ZA KIWANGO LAKINI SWALI NI KUWA MBONA ZZK KUPEWA GARI MBILI NA MKONO MNAMWITA MSALITI??? USALITI WAKE UKO WAPI? Mbowe hakufanya kampen kwenye jimbo la mkono kisa kapewa hela. Nani msalit
Uwongo una mwisho. Haya Mkono amekanusha. Tundu Lissu njoo huku
MAMBO MSETO 24: LISSU MATATANI, ZITTO, MKONO WAMPA VIDONGE VYA MAUMIVU MAKALI
cdm na ccm wot wezi tu,kz kuwafaidisha ndugu zenu na marafikiWe ni mjinga wa kufikiri. Kwani hayo anayoyasema zzk ndio yaliyosababisha kupanga mkakati wa kuondoa uongozi wa juu. Hakutaka hayo yajulikane kwa sababu ni mambo ya ndani ya chama. So mpango wote wa kumuondoa mbowe kwenye uenyekiti wa chama ni pamoja na kusafisha chama ili kuleta utendaji wa haki. Sasa kama wakina mbowe wameamua kutoa siri za chama kwanini yeye asizitoe? Na kwa taarifa yako hizo ni baadhi tu kuna nyingi ambazo zitazidi kufichuka. Hivyo zzk yuko sawa kwani waswahili husema NYANI HAONI KUNDULE. Wamesahau hela walizopewa wao.
hakika mtu alie li engeneer hili sakata ni jasusi wa hatari....
unazani zitto ni zoba wakufanya ujinga wakati anafaham sheria na taratibu?Wakati Mbowe anatolewa bungeni baada ya vurugu Huyu ZZK alikuwepo kweli bungeni?
Mtumishi siasa waijua ha ha haa
Uwongo una mwisho. Haya Mkono amekanusha. Tundu Lissu njoo huku
MAMBO MSETO 24: LISSU MATATANI, ZITTO, MKONO WAMPA VIDONGE VYA MAUMIVU MAKALI
Haha haha technically na yeye amechukua magari mawili haha big show ccm ni whatsup sana...huenda dogo naye kataka uenyekiti apige haha uzalendo ma s a bu ri yao!
walikuwa wapi kuyasema yapi?kwani umesikia wapi cdm walipo kiri hizi allegations? these are mere allegations mpaka hapo,unless uniambie cdm wamekiri madai hayo its only then when your comment can be valid.Hata wenyewe chadema walikuwa wapi Sikh zote kuyasema hayo? Au kwasababu wamemuona anaweza kupata uongozi?
Ajibu wapi? Humu JF?Zitto hajajibu mashtaka kwake kuhusu magari aliyopewa na Mkono. Two wrongs do not make a right.
Kabla ya ku deflect mashtaka kwa kuibua uozo wa mpinzani wako, jibu mashtaka kukuhusu wewe.
Kwa tuhuma hizi nzito alizozitoa mh. Zitto Kabwe dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema mh. Freeman Eikaeli Mbowe, Chadema inabidi ijibu coz its very serious na wakikaa kimya ina maana yanayosemwa na mh. Zitto dhidi ya mh. Mbowe ni ya kweli...basi Chadema haitakuwa na locus standi ya kunyooshea watu kwa tuhuma za ufisadi na michezo michafu...tunamtaka mh. Mbowe atoke kukanusha au tuziamini.
unazani zitto ni zoba wakufanya ujinga wakati anafaham sheria na taratibu?
mazoba ndo walienda kumzingira zoba mwenzao