Siasa kwa wapinzani haina rafiki wala adui wa kudumu. Ndo maana Lowassa aligombea urais kupitia Ukawa, Mende yuko zake Act, Nyalandu yuko Chadema ila waunga mkono juhudi wamekumbana na wajumbe wakaambiwa noo, stop sisi ukishaenda upinzani ni adui wa kudumu