Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nashindwa kuona ni jinsi gani unaweza kutoboa kupitia Chama chako cha ACT kwa sasa, labda ukachukuwe Wananchama wa CUF lakini hapo sasa inabidi utumie karata kama aliyokuwa anaitumia CUF yaani Udini.
Kwa maana ni ngumu sana kwa sasa Mtanzania wa kawaida kuwaamini upinzani na sera zao za ufisadi kwani CHADEMA wamewasaliti wanachama wao kwa kumchukuwa Lowasa mwenye tuhuma za ufisadi, hivyo una kazi ngumu sana ambayo naweza kusema ni kama haiwezekani kwako kuweza kujenga Chama chako na kuwa kikubwa hapa nchini, nafasi pekee uliyonayo ni ya Udini yaani utumie Uislamu kwamba ACT kiwe de facto Chama cha Kiislamu kinyume na hapo sioni!