Zito kuchemsha

Zito kuchemsha

Status
Not open for further replies.
Mijadala dhidi ya Zitto ambae hata hawazungumzii ni hofu na kumuogopa.
 
Ushauri wangu kwa zito ajiunge na wanaukombozi UKAWA hapo wananchi kidogo watamwelewa,maana hawana imani naye
 
Zitto ni msaliti mbaya sana asiyestahili kusamehewa na mwanamabadiliko yeyote yule,CCM wanamsajilia Chama haraka ili kuzigawa kura za Chadema nyingine ziende ACT wao washinde kirahisi,Zitto anaijua hii Move vizuri sana af anajidai anataka kuwang'oa CCM madarakani ni mnafiki mkubwa sana huyu mtu,Wanamabadiliko tuungane tumkatae na ACT yake pamoja na fedha zake za rushwa anazotumia kupamba headlines za Magazeti,Ni mtu mwenye uchu wa madaraka,mdini,mkabila,mkanda na mla rushwa mkubwa ni kirusi hatari sana kwenye nchi hii ndiyo maana wabunge wa CCM walimpigia sana makofi Bungeni baada ya kufanikisha kazi yao ya kuibomoa Chadema,Yeye mabadiliko ni pale tu atakapokuwa Mwenyekiti wa Chadema na mgombea Uraisi does it makes sense kweli?Tuunganishe nguvu kukimaliza hichi kirusi hatari kwenye mabadiliko ya nchi hii manake kilivyojijenga na mtandao wake hata ukiandika thread humu kuwaeleza watu SIDE B yake haikai.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Chonde chonde msimuue kama mlivyomuua chacha wangwe maana hizo hasira zenu si bure
 
nashindwa kuelewa akili za watu wengine sijajua kama ziliingiliwa na wadudu tokea utotoni.. Kipindi zitto anakimbizana na viongozi wenzake mlikuwa mnasema asing'ang'anie chadema aanzishe chama chake, sasa chama kimeanzishwa mnalaumu tena, mbona mnamatope vichwani mwenu? Mlitaka afanyeje au ajiue? Wajinga kwelikweli.
 
mama yetu tunakuombea uishi mda mrefu,kweli mama yetu hali sio nzuri kama usemavyo mama,ufisadi,wizi,unafiki,ubinafsi,uongo na uzandiki ndo mfumo wa sasa wa serikali.upande mwingine nakuombea mungu muumba akuchukue ili usije ukashuhudia ghasia na vita.mlijitaidi kuweka usawa na amani nchini lakini mlioyahubili sio yanayotendeka kupitia chama tawala.sisi kama vijana tunashukuru kwa kuyaona na kuyasema yote uliyoyaona.mama usichaguliwe magazeti ya kusoma kuna magazeti mengi yanayofichua maovu ndani ya serikali kama vile Tanzania,mwananchi,-----,na mengine mengi.
 
Japokuwa sipendi siasa za Zitto lakini siungi mkono UKAWA, hivi kibaraka na mdini kama Lipumba anaweza kweli kusimama kidete kama mkombozi wa wanananchi maskini?

Mungu aturehemu aiseee.
 
Last edited by a moderator:
mama yetu tunakuombea uishi mda mrefu,kweli mama yetu hali sio nzuri kama usemavyo mama,ufisadi,wizi,unafiki,ubinafsi,uongo na uzandiki ndo mfumo wa sasa wa serikali.upande mwingine nakuombea mungu muumba akuchukue ili usije ukashuhudia ghasia na vita.mlijitaidi kuweka usawa na amani nchini lakini mlioyahubili sio yanayotendeka kupitia chama tawala.sisi kama vijana tunashukuru kwa kuyaona na kuyasema yote uliyoyaona.mama usichaguliwe magazeti ya kusoma kuna magazeti mengi yanayofichua maovu ndani ya serikali kama vile Tanzania,mwananchi,-----,na mengine mengi.

Wameamua kumfanya yeye ni TBC kuwa kuna magazeti asisome. Nimefurahi kusikia kuwa anaamua kuyaagiza mwenyewe. Haki ya nani CCM wameumbuka hapo.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom