nyarugusu mamboleo
Member
- Apr 24, 2014
- 63
- 3
Wananchi wameupokea huu umoja wa vyama kama ukombozi wao,ACT wao wanaubeza na kuungana na ccm,sasa ni wakati wakumpima zito maana ameanzisha ACT ili kuvunja upinzani
Wajinga na wasaka tonge ndo wanakimbilia kuanzisha/kujiunga na vyama vipya!
Tanzania adui mkuu ni CCM ndo maana tulivishauri vyama vikuu viungane! UKAWA, UKAWA, UKAWA daima hadi CCM wang'oke!
we we ndio hauna jipya ni lazima mabadiliko tumechoka na mafisadiHauna jipya.
He is yuor father....know that today on wardHopeless ZZK is real hopeless in all dimensions of life
Wewe unaelekea ni huna uzalendo maana tumechozwa na kuuliwa kwa TEMBO wetu ni lazima tuwagaragaze mafisadi.MWISHO WAO UMEFIKAMleta mada acha kuwewesea, umeanzisha mada tuliza ma..ka....li.o watu wachangie
Mama Maria Nyerere amesema amechoka kupangiwa kusomavijigazeti vya uhuru, mzalendo na habari leo ......hataki tena mchezo huo amechoka ......una maoni gani?Hauna jipya.