Zitengenezwe mobile games za namna gani ili kuliteka soko la Tanzania?

Hackboy

Senior Member
May 25, 2013
139
244
Nataka kuanza kutengeneza mobile games za kitanzania. Je, unahisi games ziweje ili ziweze kupendwa na Watanzania wengi. Wenye mawazo n.k karibuni.
 
Angalia gemu ambalo halitakuwa lakutumia akili nyingi sana! Wabongo watakimbia!!
Tengeneza la nyoka ila liwe linakula viongozi 😂😂

Walau watu tutapunguza machungu kila ukimuona kiongozi fulani unamfata unamla!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…