Zitambue sababu za Kwanini usome UDOM?

Sasa ndugu afisa masoko collage ndio kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kufahamu UDOM kwa kozi zote 80 zinachukua takriban wanafunzi wangapi?
 
Hicho ni kweli mkuu,nasikia hapo baadhi ya walimu wa college Fulani wanashindana kutoa sup...imenishangaza sana hiyo.
wengi ma lecture wanatuhumiwa kuwataka kilazima wanafunzi aina ya masogange bahati mbaya na ma lecture wenyewe wameathirika shit kaijazeni udom
 
ukikosa U nenda SUA ikikosa SUA achana na mopango ya kusoma

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
mkuu link ya kuingia udom tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…