Zitambue aina hizi za Waschana

Zitambue aina hizi za Waschana

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
1. Master girls
hawa ni waschana ambao huwachukulia wanaume kuwa ni viumbe walioumbwa ili kuwatumikia hivyo huamini kuwa thamani yake ni kubwa mno kwamba mwanaume yeyote anayetaka kuwa nae lazima awe mtumwa kwake. Atakuomba umfanyie mambo makubwa na mengi kana kwamba amekuajili na anakulipa mshahara, atadeka na mapozi chungu nzima kutaka kufanyiwa kila kitu na mwanaume aliyenaye.

2.Price girls.
hawa ni waschana ambao huamini hakuna mwanaume anayestahili kuea naye isipokuwa yule mwenye uwezo mkubwa sana kifedha, mara nyingi wanawake hawa huchukulia wanaume kama sehemu ya wao kutatua matatizo yao ya kifedha na hutumia nafasi ya kuwa msichana kutumbua pesa za mwanaume.

3.Lazy girls
hawa ni waschana ambao huamini kuwa wao ni wanawake na hawastahili kufanya chochote kwakuwa wao ni wanawake. hawajishugulishi na chochote hukaa tu na kusubiri kuletewa kwa kuwa wao ni wanawake.

NB:huenda nimekosea katika kutoa majina mtaniwia radhi kwa hilo nimetafuta majina ambayo nilihisi yangefaa. ikiwa utanirekebisha sio mbaya.
 
Mkuu pia Kuna wale wanaodhani wako sahihi Sana katika jambo lolote wanaloomba wafanyiwe maana hawataki kabisa kufikiria kesho
 
Mkuu pia Kuna wale wanaodhani wako sahihi Sana katika jambo lolote wanaloomba wafanyiwe maana hawataki kabisa kufikiria kesho
nawajua hao hujifanya wana haki ya kufanyiwa kila kitu.
 
Mama Huruma (wema) hawa n wale ambao umpa kitumbua kila atakae bila ........... ahaa
 
Back
Top Bottom