Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?

ZILLAHENDER MPEMA,
Nime kuelewa mkuu. Asiye kuelewa basi atakuwa ana matatizo makubwa ya ki saikolojiya.

Hivi kwa nini huyu bwana hakujiuzulu kama haku yahafiki yaliyo kuwa yakitendeka? Mbona tunaona wenye kujiuzulu wasio hafikiana na fikra zake? Ka nini yeye hakufanya hivo?

Mbona hajasema mchango wake katika uharibifu uliofanyika? Na kama na yeye alikuwa mmoja wa waharibifu anao wakashifu kila siku, basi ajiuzulu kama anaipenda nchi anavyodai.
Manaake hana sifa ya kuwepo alipo.

As for the main topic, asipo washirikisha wasomi(toka vyuo vikuu), Bunge kujadili mwelekeo wa nchi, matokeo hayangoji mganga wa jadi kutabiri.
Ni HASARA kubwa nchi na vizazi vijavyo.
 
Hakimu Mfawidhi,
Mkuu Hakimu Mfawidhi,
Kwanza usiwe na wasiwasi wowote, hivi ni vitisho tuu, hawa jamaa hawawezi kutufanya chochote wala hawawezi kutushitaki popote kwasababu tumeisha badili sheria zetu za uwekezaji kwenye sheria mpya ya madini, kwenye extractive industries tumeweka kipengele hiki
1579159754030.png

Hivyo hawa jamaa kama wana malalamiko yoyote, waende mahakama zetu za kizalendo.

Ila ile siku tulipo badili sheria, niliuliuliza swali hili humu
Sasa haya ni matokeo!.
P
 
Pascal Mayalla,
Spot on !! Hii thread yako ya mwaka 2017 naiona kama "Prize Winning Article". Ulichokiandika ndiyo kinatokea vile vile. Uliichambua ile Sheria mpya, ukaonyesha mapungufu, ukaonya na mwishowe ukatoa ushauri lakini wenye mamlaka wakapuuza.

Mchango wako kiukweli ni bora kuliko MPs wote wa CCM na Spika wao kuacha mswaada huo upite na kuwa Sheria.

Hongera sana, you are really a brain and a patriot
 
Mkuu Stuxnet, kwenye nchi zenye udikiteta na freedom of expression ikiwa kwenye mizani, its very risk to be right when wenye mamlaka are wrong, huchelewi kunyooshewa kidole kuwa wewe ni msaliti!, na kuelezwa kuwa hapa tuko vitani kwenye vita vya kiuchumi, na vita vya kiuchumi ni mbaya kuliko vita vya kawaida, na huwa inafahamika wasaliti vitani huwa wana fanya nini!.

Hivyo kazi yetu wengine ni kuobserve tuu, kusema, na yakianza kutokea, tunakumbushana tulisema nini!.

Kwenye hili la vita vya rasilimali zetu, kuna viongozi wetu, kwa kujua Rais Magufuli anataka kusikia nini, wao wanaamua kumsikilizisha tuu kile kile anachotaka kusikia, huku baadhi yao wakijua waz kuwa vitu vingine wanamdanganya.
Sasa tunasubiri mkataba mpya na Barrik usainiwe, tusikie Watanzania tutaelezwa lile deni letu la dola bilioni 190, limeyeyukia wapi?!.

Wakati hao viongozi wakimdanyanga rais, akina sisi huku tunaonya kuwa rais anadanganywa!, because we are no bodies, no body listens, wenyewe kwa wenyewe huko ndani kwa ndani wakagundua lile deni ni la uongo, wakakubali kulifuta kimya kimya, bila kuwaeleza Watanzania sababu, lakini mkataba utakapo sainiwa deni halipo, Watanzania ni lazima tuelezwe, deni letu limekwenda wapi?.

P.
 
Paskali,
Kuna mambo serikali inafanya maamuzi sio ya JPM hata zilizopita unabaki na maswali mengi sana.
Mathalani, wakati wa JK mkataba wa Oil na gas Mtwara ulipita kwa hati ya dharura. Niko tayari kukosolewa kama nakosea, kulikuwa na uharaka gani??

Wakati wa Ben Mkapa, kuna shauri lilikuwa mahakamani kati ya Watanzania wa Bulyanhulu Kahama vs investor alikuwa tayari anataka kuanza kazi. RC wa Shinyanga wakati huo a Rt man in uniform Gen. Kiwelu akatoa amri watu wavunjiwe nyumba hata kabla mahakama kuu kanda ya Tabora hajatoa haki.

Watawala mara kwa mara sijui wakiwa ofisini huwa wanaona nini na sijui nini huwa kinalazimu hati za dharura.

Ni nchi hii hii achilia mbali sheria kuwa mbaya dhidi ya investors. Kuna wakati sheria ilipitishwa hata ukichimba choo ukapata almasi sheria haikutambua kama huna leseni. Na sheria akaja na kitu cha ajabu sana kuwa inawezekana wewe ni mwenye ardhi ila kilicho chini ya ardhi sio chako. Wakati huo wala hakuwa ananyongwa Dangote au ACACIA walikuwa wanaminnywa Watanzania. Cha kufurahisha/kusikitisha, the financial times hawakuona hiyo kama habari.

Suala la maslahi ya Taifa Tanzania, linahitaji mjadala mpana sana na wa wazi. Maana kila mmoja kutegemea na angle aliyopo anaona yuko sawa.

1579168452836.png

1579168497846.png

1579168534058.png

Naomba nikiri, pamoja na ubobevu wa wanasheria wetu na wasomi wetu; perception ina matter sana wakati wa kufanya maamuzi. Nini mtu anaona na kama hataki kumsikiza mwingine, hapo inakuwa ni tabu tabu.

Mchana mwema wakubwa
 
Pascal Mayalla,
Mkuu Paskali mimi nawe tumesoma biblia hata kama hatujasoma sana theojia ua divinity.

Kuna hadithi ya Yusuf alikuwa mfanyakazi kwenye nyumba ya Mkuu wa Walinzi wa Farao wa Misri hapa kwetu ni kama vile Boss wa Walinzi wa Rais (PSU) kwa Marekani inaitwa Secret Service. Enzi za Nyerere alikuwa Peter Bwimbo kwa sasa wanamjua walio kazini; sisi raia hatumjui.

Mke wa mkuu yule wa walinzi alimsingizia (alimshtaki) Yusuf kwa mumewe kuwa Yusuf alitaka kum.... sasa. Mume mtu bila hata kufanya uchunguzi (Investigation) akamchukua Yusuf akamtia kororoni. Kuna nyakati wakubwa wakishauriwa na watu wanaowaamini; huwa hawa-dig deep enough na huo ndiyo ubinadamu.

Rais Mkapa amekiri kwenye kitabu chake kuwa Gavana Balali alimwingiza chaka. Amekiri tena PSRC kwenye ubinafsishaji hawakuwa na good strategy ya namna gani viwanda vinavyobinafsishwa, wahusika wanafanya kile juhudi za kuendeleza shughuli za viwanda.

JPM pia alitabainisha wakati mmoja kuwa "vijana wake wa vetting" wali-recommend kuwa Mtaka hafai hata kuwa DC. Ina maana hata wale waliopendekeza JK ampe u-DC wa Mvomero walikosea. Yet; JPM alikiri Mtaka ni RC namba moja kwake.

Kwa facts hizi, bila shaka watu wa karibu maana ndo mzee yuko nao kila siku ndo anawaamini, sitashangaa in the course of 5 years wasimwingize chaka kwa kukusudia au kwa bahati mbaya. Maana kama vile Mke wa Potifa alipika ushahidi kwa boss wa Usalama kuwa jamaa lilitaka kum.... boss nae kwa hasira bila kufanya further investigation nae akaingia kingi... asomae na afahamu
 
Si kweli kwamba anadanganywa, ni kwamba anajidanganya ili kutimiza malengo yake binafsi, na waliomzunguka nao wanatimiza wajibu wao wa kumsaidia kujidanganya, ili nao wafaidishe matumbo, na ndio maana anateua wale watu wa ndio tu,

Huyo mtu amekuwa kwenye sysyem zaidi ya miaka ishirini, hivyo sio mgeni kujua nini kinaendelea, haya ni matokeo ya pale ajenda binafsi na za chama zinapopewa kipaumbele zaidi kuliko ajenda za nchi, ndio unaona rais na chama tiss, jwtz, police na NEC wote wanabariki wizi wa fedha za wananchi, uaaji , kuteka na uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi.
Ila siku Msukuma atakapojua kuwa kina nani wanamdanganya na kumfanya (nahifadhi hilo neno) hakika kutachimbika! Haiwezekani wampake mafuta kwa mgongo wa chupa naye afikiri kuwa anameremeta kumbe anapauka halafu akugundue na kukuacha salama.
Nadhani hao cha moto watakiona kuliko "msaliti" wakati wa vita

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
Kitakacho Tokea
Kitakacho tokea ni ama baadhi ya vipengele vya sheria hii mpya vitapuuzwa, ama ili kuepuka aibu ya kupitisha sheria mbovu kwa mbwembwe, serikali itapeleka kimya kimya, marekebisho ya baadhi ya vipengele vya sheria hii, kikiwepo hicho kipengele cha arbitration, kitaondolewa ili kurejesha confidence kwa wawekezaji. Kwenye hili, time will tell, kama Nyerere na Sokoine walikuwa ni wakali ukweli ukweli, lakini walishindwa, hivyo kwenye hili la sheria kutekelezwa kwa retroactively, naowaomba mimi niwe mkweli bayana wa nafsi yangu, Mwalimu wangu Prof. Kabudi na wanasheria wake, waliotunga sheria hii kwa mtindo wa zimamoto, wamemdanganya rais Magufuli kwa kumtungia sheria yenye vipengele vya ajabu, halafu rais aka accent, then sheria hii itashindwa kutekelezwa, hivyo soon watapeleka marekebisho Bungeni na kumrudia rais a accent marekebisho hayo, na hili likitokea, naombeni hoja za bandiko hili zizingatiwe, Tanzania tutaonekana ni nchi ya ajabu, tunatunga sheria za ajabu kwa mbwembwe, tunazipitisha kwa mbwembwe, rais wetu ana zi accent kwa mbwembwe, lakini katika utekelezaji ndipo tunajikuta kumbe Bunge letu, na serikali yetu, iliyosheheni wanasheria manguli tena wengine ni waalimu wetu wa sheria wa chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam ambao sisi tulipokuwa wanafunzi tukisomea sheria, waalimu hawa ndio waliotufundisha kuwa sheria yoyote inayotungwa kama ita act retroactively is a bad law, it's illegal, lakini leo, waalimu hawa hawa ndio wamegeuka wanasiasa na wao sasa ndio hawa wametunga illegal law, wakaipitisha, wakampelekea rais akaisaini ianze kutumika, huku wanajua fika retroactively law is illegal law kwenye jumuiya ya Madola, lakini bado wamepitisha, sasa siku ya kurejea Bungeni kuyarekebisha haya madudu yao ya kisheria, hizi sura zao wataziweka wapi?.

Paskali
Wanabodi, bado naendelea kusubiria contents za hii mikataba tuliosaini juzi na Barrick, sasa kwa sababu kwenye bandiko hili nilisema kuna vipengele vya ajabu, na kwa vile mikataba hiyo imesainiwa wakati tayari tunayo sheria hii mpya ya madini, kama mikataba hii mipya imeingiwa bila kuzingatia kipengele hiki,
1580449810529.png

then mikataba hiyo ni illegal!. Kama sheria inasema hivi, lazima mikataba yote ifuate sheria!, kisheria huwezi kusaini kitu ambacho ni illegal. Juhudi za kupata details ya kilicho sainiwa zinaendelea,ila kama ni kweli kipengele hiki kimepuuzwa, then hiki ndicho kitu nilichouliza humu, jee Tanzania tunaweza?, tunao uwezo huo?, tuna guts?.
Majibu ni hiki kinachofanyika sasa kwenye mikataba hii.
P
 
Wanabodi,
Kwanza naunga mkono marekebisho ya sheria hizi kufanyika, kwa sababu yanafanyika kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa na maslahi ya Watanzania badala ya maslahi ya wawekezaji, japo siungi mkono miswada hii kuletwa kwa hati ya dharura kwa sababu tayari kuna mikataba mingi iliyopo kabla ya sheria hii mpya inayoletwa ambayo itaathiriwa na mabadiliko haya, hivyo ni busara kutoa fursa kwa ushirikishwaji, ili kulinda interests za both parties kwenye mikataba iliyopo na pia kujipa muda kutafakari the consequences kitu ambacho hakiwezi kufanyika bila ushirikishwaji. Udharura huu hautoi room ya ushirikishwaji, japo najua unafanyika kwa maslahi ya taifa ila unapofanyika kwa udharura as if kuibiwa ndio tumeanza kuibiwa leo, unaacha maswali mengi bila majibu kuwa kwani waliosababisha hadi tuibiwe hivi ni kina nani, wako wapi na wamefanywa nini?!.

Tayari pongezi zimeishaanza kumiminika kwa Rais Magufuli na Waziri wa Sheria Prof. Kabudi, huu sio uzi wa pongezi, bali ni uzi wa angalizo la kisheria, kwa vile jambo kama hili liliwahi kufanyika hapa nchini kwetu siku za nyuma, na mahakama kuu ikalifumua, leo linarudiwa tena huku watu wakishangilia kwa mbwembwe, hivyo hapa natoa tafakuri angalizo kuwa baadhi ya vipengele vya sheria hii ni illegal, havitekelezeki, na soon sheria hii itarudishwa bungeni kurekebishwa, unless kama ni kweli sasa nchi yetu inaendeshwa kidikiteta!. Kupitishwa kwa sheria hii fasta fasta, kumenisababishia kujiuliza maswali ya kujiuliza, Kwa vile tunaibiwa kupitia mikataba mibovu, ili sheria hii ilete unafuu ni kama tuu itaanza kutumika mara moja baada ya kusainiwa, swali ni... je, sheria hizi mpya zita act retroactively?.

Kama jibu ni ndio/yes, then Tanzania tutakuwa tunatengeneza tena bad laws ambazo tutakuwa tumevunja mikataba yote iliyopo ambayo baadhi ni ya kinyonyaji kuhusu rasilimali zetu, hivyo kukata mirija ya wanyonyaji hawa, na hawatakuwa na uwezo tena wa kututisha tisha kutushitaki popote zaidi ya Tanzania, kitu ambacho kiukweli ni hakiwezekani, it is illegal.

Angalizo Muhimu la Kisheria.
Kuna baadhi ya watu wakiwemo viongozi wetu wenyewe wanafanya mambo ya ajabu ikiwemo kutunga sheria za kiajabu ajabu na mara baada ya sheria hizi za ajabu ajabu zikiishwa tungwa, watu wanashangilia na kupongeza bila kujua wanashangilia nini na wanapongeza nini!. Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Kiingereza, common laws of England ambao unatamka retroactive laws ni repressive na illegal!. Sasa leo tunatunga illegal law, halafu tunashangilia, wakati wanasheria wanajua wazi baadhi ya vipengele, havitekelezeki!. Huku ni kumdanganya rais Magufuli!.

Swali kuu la msingi ni jee Tanzania, can we stand by mabadiliko haya ya sheria zetu kwa kukata mirija ya wanyonyaji?. Jee do we have the guts to stand by the laws kwa mabadiliko haya?. Isije ikawa tunashangilia sasa, kisha tunakuja kugeuziwa kibao kwenye mengine yote ili kushikishwa adabu na mabeberu hawa na mwisho wake tunakuja kujutishwa?.

Nakiri kupandisha uzi huu baada ya kumsoma mwana jf huyu
View attachment 532796
Mkuu Msemakweli, asante kwa hii. Kwanza naunga mkono hoja ila sio kwa haraka na udharura huu wa Bunge letu, bila kupata muda wa kutafakari na kupima the consequences. Kipengele hiki kikitukika retroactively ni illegal!. Hatuwezi kutunga illegal law na kuishangilia, halafu kesho ndipo tunagundua ni illegal na kupeleka bungeni mabadiliko na kuifuta hii ilegality!.

Declaration of Interest.
Kwa vile hoja ya bandiko hili ni hoja za kisheria, hivyo naomba ku declare interest kuwa mimi Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, ila pia nilisomea sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, USDM. Wakati nikiwa mwanafunzi chuoni hapo, Jaji Mkuu wa sasa wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma ndio alikuwa Dean wangu, Waziri wetu wa Sheria na Katiba, Prof. Palamagamba Kabudi ndie supervisor wangu wa LL.B dissertation yangu, hivyo naombeni ikitokea nika wa blast walimu wangu, msidhania ni kwa hasira za vibano vya mwalimu na mwanafunzi, bali hapa ni hoja tuu za kisheria, haitegemei nani ni nani, kutunga sheria ya ku act resroactivey ni bad law!.

Miswada hii ikipita hivi hivi ilivyo, na kama itakuwa applicable retroactively kwa mikataba hii ya kinyonyaji iliyopo sasa, then Tanzania tutakuwa automatically tumevunja mikataba yote ya uwekezaji kwenye maliasili zetu!, hakuna tena kutishiwa kushitakiwa popote nje ya Tanzania, hakuna cha IICD wala cha MIGA, mambo yote sasa ni kwa sheria zetu za JMT. Huu ndio uzalendo, huu ndio uanamume, na kama hawataki kufuata sisi wenye mali tunachotaka, bora wafungashe, virago vyao na wakwende zao!, but hapa naomba tuambiane ukweli, jee sisi Tanzania, tunao uwezo huo?, can we stand?. Do we have the guts and the capacity to challenge them?. Nyerere alijaribu kwenye nationalization na matokeo tunayajua, jee Magufuli atasimama na hii Magufulinaization yenye kila dalili za pseudo dictatorship ambazo the rule of law sio issue sana kivile?, ikibidi kuzibadili sheria zetu ili zitufaidie sisi, then tunazibadili bila kujadiliana na yeyote na hata kama kuna atakayeathirika na mabadiliko haya, potelea pote, kwanza tubadili ndio tuje tukae mezani kutafuta a win win situation kwa kutumia sheria mpya!. Hili litawezekana?.

Kwavile wengi humu ni vijana wadago, kwa sisi wazee wa umri wangu, tunakumbuka vita ya uhujumu uchumi ya Edward Sokoine, kwanza wahujumu uchumi walikamatwa wakatiwa ndani, kisha Bunge letu likatunga sheria ya uhujumu, kisha sasa tukaitumia sheria hiyo mpya kuwahukumu wahujumu hao.

Mahakama Kuu ilitupilia mbali kesi zote, serikali ikashindwa vibaya, na kudaiwa fidia ya mabilioni na ikatamkwa wazi kuwa sheria hiyo ni batili!. Sasa tumetunga tena sheria nyingine batili!, Mtunga sheria mkuu wa sheria hii ni mwalimu wangu Prof. Kabudi aliyetufundisha kuhusu retroactive laws ni bad laws!.

Tanzania tunafuata mtindo wa sheria wa nchi za Jumuiya ya Madola ambayo unataka sheria iwepo kwanza ndipo ukiivunja unakuwa umetenda kosa, ili kosa lifanyike, lakini kwanza sheria iwepo kutamka jambo fulani ni kosa. Lakini kama jambo fulani wakati linafanyika halikuwa kosa, lakini huwezi kutunga sheria na kutekekezwa retroactively. Naomba kuwaandaa kisaikolojia kuwa baadhi ya vipengele vya sheria hii mpya ya madini ni vipengele batili, ama soon itarudishwa Bungeni kufumuliwa, na krekebishwa ama ikilazimishwa kutekelezwa kwa lazima, Tanzania tunakwenda kupigwa mwereka mahamani mapema asubuhi!.

Lakini kama sheria hizi mpya, zitaanza kutumika kwa mikataba mipya itakayoingiwa kuanzia sasa, baada ya kuwepo kwa vipengele hivi, then Watanzania wenzangu, wala tusishangilie saana kivile, kwa sababu, tutaendelea kuibiwa kupitia mikataba mibovu iliyopo mpaka ama imalizike, ama tukae mezani ku renegotiate na wawekezaji hawa ambao baadhi yao ni wanyonyaji, wanaweza kabisa wakagoma ili kuhakikisha kuwa wame extract madini yetu yote, na gesi yote na Tanzania tukaachiwa tuu mashimo!.

Ili sheria hii iwe na maana ni lazima ianze kutumika kuanzia sasa ilipopitishwa, ila kwa vile sheria huwa hazi act retrospectively, kwa mikataba iliyofungwa kabla ya sheria hii, inakuwa haifungwi na mabadiliko haya, wanasheria mliopo humu tusaidieni, jee vipengele hivi vipya, havivunji mikataba iliyopo inayotaka usuluhishi kwanye vyombo vya kimataifa?.

Jee nini hatma ya Tanzania kwenye mikataba ya kimataifa tulioridhia ikiwemo MIGA?.

Nini hatima ya Tanzania katika uwekezaji kupitia FDI?, wenye fedha zao kweli watakuwa tayari to take such risks?.

Jee tushangilie tuu, au pia tujiulize na the consequences, jee Tanzania tuna guts to stand the international pressures za mabeberu hawa, ama tunapitisha tuu sheria hizi kwa mbwembwe, lakini hatuna uwezo wala jeuri ya kuzitekeleza na ama soon kibano kikitufika, tutaufyata kwa kuzirejesha Bungeni kufumuliwa na kurekebishwa ili kuheshimu mikataba ya kinyonyaji iliyopo!, na amini usiamini, hakuna mwekezaji yoyote wa kimataifa atakubali kuja kuwekeza kwenye nchi yenye sheria za ajabu kama hizi!.
Ushauri wa The Best Way Forward ni Renegotiation to Reach A Win Win Situation
Kupitisha sheria mpya kwa hati ya dharura bila ushirikishwa ni kosa, maadam tumeisha fanya kosa, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Hivyo huu ni ushauri wangu wa the best way forward kwa situation iliyopo ni kukaa mezani na wawekezaji wote tuliosaini nao mikataba kabla ya sheria hii mpya kupitishwa, kuwapigia magoti, kuwaomba wakubali kupitia upya mikataba yao katika win win situation, sisi tupate na wao wapate, hii ya kulazimishana, nawaombeni sana msishangilie na kumvimbishwa kichwa rais Magufuli kuwa tunaweza kila kitu, tuwalazimishe lazime wafuate, asiyetaka na afungashe, aondoke!, jee tunaweza?, tunayo jeuri hii?. Kuna watu kama Billy Gates au Dangote, akikohoa tuu, nchi zinatetemeka!, can we stand?.

Kitakacho Tokea
Kitakacho tokea ni ama baadhi ya vipengele vya sheria hii mpya vitapuuzwa, ama ili kuepuka aibu ya kupitisha sheria mbovu kwa mbwembwe, serikali itapeleka kimya kimya, marekebisho ya baadhi ya vipengele vya sheria hii, kikiwepo hicho kipengele cha arbitration, kitaondolewa ili kurejesha confidence kwa wawekezaji. Kwenye hili, time will tell, kama Nyerere na Sokoine walikuwa ni wakali ukweli ukweli, lakini walishindwa, hivyo kwenye hili la sheria kutekelezwa kwa retroactively, naowaomba mimi niwe mkweli bayana wa nafsi yangu, Mwalimu wangu Prof. Kabudi na wanasheria wake, waliotunga sheria hii kwa mtindo wa zimamoto, wamemdanganya rais Magufuli kwa kumtungia sheria yenye vipengele vya ajabu, halafu rais aka accent, then sheria hii itashindwa kutekelezwa, hivyo soon watapeleka marekebisho Bungeni na kumrudia rais a accent marekebisho hayo, na hili likitokea, naombeni hoja za bandiko hili zizingatiwe, Tanzania tutaonekana ni nchi ya ajabu, tunatunga sheria za ajabu kwa mbwembwe, tunazipitisha kwa mbwembwe, rais wetu ana zi accent kwa mbwembwe, lakini katika utekelezaji ndipo tunajikuta kumbe Bunge letu, na serikali yetu, iliyosheheni wanasheria manguli tena wengine ni waalimu wetu wa sheria wa chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam ambao sisi tulipokuwa wanafunzi tukisomea sheria, waalimu hawa ndio waliotufundisha kuwa sheria yoyote inayotungwa kama ita act retroactively is a bad law, it's illegal, lakini leo, waalimu hawa hawa ndio wamegeuka wanasiasa na wao sasa ndio hawa wametunga illegal law, wakaipitisha, wakampelekea rais akaisaini ianze kutumika, huku wanajua fika retroactively law is illegal law kwenye jumuiya ya Madola, lakini bado wamepitisha, sasa siku ya kurejea Bungeni kuyarekebisha haya madudu yao ya kisheria, hizi sura zao wataziweka wapi?.

Paskali
Mkuu hizi sheria japo zilipitishwa kwa hati ya dharula lakini zina maslahi makubwa kwa taifa letu. Kwamba zitatumika retrospective sidhani kama itakuwa hivyo. Issue kubwa kwenye mikataba ya madini ni voidable contracts. M

Mkuu hizi sheria japo zilipitishwa kwa hati ya dharura lakini zina manufaa kwa taifa letu. Kwamba zitafanya kazi retrospective si kweli kwa sababu kwenye sekta ya madini ishu sio hizi sheria, ishu kubwa ni mikataba iliyojaa udanganyifu kwa hiyo ni voidable contracts. Tanzania inaweza ikaivunja hii mikataba sababu kampuni nyingi zilisaini kwa udanganyifu. Mfano sisi wananchi wengi tulikuwa tunajua ule mchanga uliokuwa unasafirishwa ulikuwa na copper tu kumbe kuna madini mengi ikiwemo na dhahabu iliyobaki, huu ni udanganyifu na mkataba kama huu unavunjika kisheria. Kwa hiyo ishu hapa sio hizi sheria bali ni mikataba mibovu iliyosainiwa huko nyuma. Na hizi sheria zitasaidia kuepukana na mikataba mibovu
 
Mkuu Chagu, waati tunabadili sheria na kuleta sheria mpya, tayari tulikuwa na mikataba mingi kwa sheria za zamani, sasa ili tufaidike na hii sheria mpya, inabidi i act retrospectively, sasa ili hili lifanyike, lazima hao wenye migodi wawe cnsulted na wakubali, vinginevyo tunazidi kuibiwa!.

Hii mikataba ya juzi imesainiwa chini ya sheria mpya, kwenye eneo moja tuu la mikataba sheria yetu mpya inasema hivi
1580459136718.png

Sasa tafuta kilichosainiwa ni hiki?.
Unatunga sheria ya kujimwambafy, lakini unapofika muda wa utekelezaji hiyo sheria inayohitaji umwamba kweli, kumbe wewe huna umwamba huo!, kama hivi ndivyo sheria yetu mpya inavyosema, juzi mkataba umesainiwa bila kipengele hiki kufuatwa na hivi tunavyozungumza kimeisha nyofolewa kimya kimya!.

Sheria ilisema hatutasafirisha mchanga!, tumesaini mchanga unasafirishwa!. What is the use kusaini sheria na vipengele kibao vya kimwamba, halafu unapojikuta huu umwamba hatuna, tunapeleka marekebisho kimya kimya!.

P
P
 
Back
Top Bottom