[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tuwekee hizo alama hapa kabisa tuzisome
Nature ya maisha tumeumbwa binaadam kama vidole vilivyo! Unaona vidole vyako kati ya kidole na kidole kuna nafasi right? Ukichukua vidole vya mkono mwingine hua vinakaa hapo kwenye hiyo nafasi.
Hii ina maana gani Mama rei?
Inamaana kwamba tumeumbwa tukiwa na Compatibility (Kuendana)
Inatubidi tubebeane mizigo haijalishi ni mizito namna gani, Mpaka umekubali awe mpenzi/mchumba wako basi inabidi uwe Compatible, umbebee mwenzako mizigo sio kuanza kukashifu viumbe/binaadamu wenzako kua ni Mjinga mmoja!
kwenye mapenzi usipokuwa makini unaweza kumpoteza mwenye mapenzi ya kweli kwa kumkumbatia mjinga mmoja kwa kujidanganya et unamvumilia atabadilika.... wakati hakuna hata kimoja alichokuambia cha ukweli kuanzia ahadi zake na mipango yake kwako
soma alama za nyakati before it is too let mapenzi ya kulia lia waachiwe ne comers a.k.a wanafunzi
Kweli kabisa formula iliyotumika kwa mwngine mambo yakawa sawa unaweza kuitumia kwako na ndio ukaharibu jumla.usingoje kutafuniwa afu katika mapenzi formula hazifanani