Ziraili wa gizani

mshana jr mimi huwa naota sana natembea hewani au nikitaka kuchuma matunda ya juu ya mti napaa.....ila kupaa kule nakua kama napiga atua ila nakuwa napaa. huwa naota mala nyingi mno ichi kitu.

Pia naotaga sana mwanangu kafariki kwa kugongwa na gari huwa naliaga sana hadi nikiamka nikistuka nakuta machozi yananitoka kabisaaaaa then namuangalia mtoto yupo mzima ila kilio huwa kinaendela apo. namuombaga sana mungu na ili swala nilishamwambiaga mama yangu mzazi kwa nini naota ivi alinishauli ni kumuomba mungu tu....ila rafiki yangu nilimwambia nae akanijibu iyo ni roro ya [HASHTAG]#MAUTI[/HASHTAG] ikemee sijui naikemea vipi maana mimi ni [HASHTAG]#Muislam[/HASHTAG]
 
Hiyo ni vita ya kiroho unapambana nayo kwa ushindi mkubwa...sikushauri uende popote panapohusika na nguvu za giza bali kwa imani yako toa zaka na sadaka na kujitahidi kwenda njia nyofu
 
Aisee umenikumbusha kipindi kimoja ndgu yangu alitoka nje usiku kama saa nane kwenda msalani siku iyo kulikua na mbalamwezi ko mwanga ulikua wa kutosha hakwenda ata na taa ile anatoka tu msalani kulitokea giza likiambatana na upepo mkali alisema hajawai kuona giza kama lile hadi mlango wa nyumba akaukosa ikabidi aanze kuitafta nyumba mda mrefu bila mafanikio ikabidi akae tuu atulie ilipofika saa kumi na moja kasoro anasema ilitokea upepo mkali sana ajabu ndipo alipo uona mwanga kama mwanzo ndo kujikuta yuko mbali kidogo na nyumban akaingia ndani anatetemeka balaa nimekumbuka nilipoona hii thread
 
Muda saa nane usiku!
Hali ya hewa mbalamwezi
Muda saa nane usiku!
Hali ya hewa mbalamwezi mida ya wanga hiyo hebu Google habari za Halloween
 
Duuh! Mada zako fikirishi sana Mkuu.
 
Dah hizi mambo hizi hatari sana ....kuna jirani yetu mwanawe alipotea kama utani mwaka wa tatu huu hata kucha haijaonekana
 
Alien abduction...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…