Sasa wewe unayejua mbona hukutoa msaada wowote?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Lugha haimaanishi kama mtu amesoma ila bila shule Hakuna lugha
funguka zaidi mkuu. unaposema bila shule hakuna lugha unamaanisha nini? kwani lugha imekuwepo baada ya shule kuwepo? je ni sahihi pia kusema kwamba baada ya maandishi kugundulika ndipo watu wakaanza kuwasiliana? kipi ni kongwe kati ya shule na lugha? na nyogeza ya hapo ili kufahamu lugha ni sharti uingie darasani? vipi kwa msukuma anayejua kuongea kihaya, kijita, kinyakyusa, kiha na Kirundi ameingia darasa lipi? think big!!!!"