Mmh.... wewe mgeni hapa mjini?! Huna habari kuwa channel zote hizo ulizozitaja, isipokuwa Tumaini TV, zilikumbwa na mafuriko yaliyotokea usiku wa tarehe 31/12 kuamkia mwaka mpya wa 2013 na zikasombwa na maji zikiwa kwenye meli yao ya Analojia!! na ingawa kuna meli ya uokozi, iitwayo Dijitali ilitumwa kwenda kuziokoa na ikafanya kila jitihada kuziokoa, lakini channel zote hizo zilienda na maji na channel pekee zilizosalimika na mafuriko hayo ni kama vile TBC, ITV, StarTV, DTV na Channel ten, kwa hiyo kama wewe bado mpenzi wa hizo channel, hebu fanya mpango na meli ya uokozi ya Dijitali ijitose kwa mara nyingine kwenye bahari iliyochafuka, pengine inaweza kufanikiwa kuziokoa hizo channel zako pendwa!!!umepita muda sana hakuna taarifa juu ya vituo vya
Mlimani Tv,
C2C,
CTN,
Tv Tumaini nk..
mwenye kujua upatkanaj wake atupe myeti
Mmh.... wewe mgeni hapa mjini?! Huna habari kuwa channel zote hizo ulizozitaja, isipokuwa Tumaini TV, zilikumbwa na mafuriko yaliyotokea usiku wa tarehe 31/12 kuamkia mwaka mpya wa 2013 na zikasombwa na maji zikiwa kwenye meli yao ya Analojia!! na ingawa kuna meli ya uokozi, iitwayo Dijitali ilitumwa kwenda kuziokoa na ikafanya kila jitihada kuziokoa, lakini channel zote hizo zilienda na maji na channel pekee zilizosalimika na mafuriko hayo ni kama vile TBC, ITV, StarTV, DTV na Channel ten, kwa hiyo kama wewe bado mpenzi wa hizo channel, hebu fanya mpango na meli ya uokozi ya Dijitali ijitose kwa mara nyingine kwenye bahari iliyochafuka, pengine inaweza kufanikiwa kuziokoa hizo channel zako pendwa!!!