Ukidhibiti kitu chochote presha inapanda, goops nguvu ya presha.Dola itamsaidia kuwadhibiti hao waasi ndani ya chama.
Hilo takwa lao halitakaa lifanikiwe hata kama ni "rumors" za ukwel.Nisikiavyo ni kuwa wajumbe wa Shingo wengi hawamtaki mwenye kigoda kupeperusha bendera ya chama awamu ya pili.
Nakubaliana na ww kwenye hiliUnapotaja CCM uelewe kwamba unataja Taasisi moja Imara Sana balani Africa na Duniani, Chama kile kinamfano wa Cobra, kinauwezo wa kujitoa Gamba inapobidi na kuendelea kung'aa tena
Elewa Sana na usilipuuze Hilo mkuu, sio Vyama Vyama vya kipumbavu, Vyama vinavyoweza kudhibitiwa na mtu mmoja na vikakosa mbadala,
Well noted.CCM siyo Chama Cha kutegemea kuwa kitakufa Leo, Kama mnataka kukitoa madarakani jipangeni kiushindani na kimbinu, msitegemee dodo chini ya mkaratusi, haitatokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchunguCCM siyo Chama Cha kutegemea kuwa kitakufa Leo, Kama mnataka kukitoa madarakani jipangeni kiushindani na kimbinu, msitegemee dodo chini ya mkaratusi, haitatokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotaja CCM uelewe kwamba unataja Taasisi moja Imara Sana balani Africa na Duniani, Chama kile kinamfano wa Cobra, kinauwezo wa kujitoa Gamba inapobidi na kuendelea kung'aa tena
Elewa Sana na usilipuuze Hilo mkuu, sio Vyama Vyama vya kipumbavu, Vyama vinavyoweza kudhibitiwa na mtu mmoja na vikakosa mbadala,
Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.
Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu mwenyekiti nguvu kudhibiti hili wimbi lamfukuto ambao mm naweza Sema amelianzisha mwenyewe kutokana na sera zake ndani ya chama.
Mwenye kiti ktk nia njema yakuimarisha chama Uwenda hakuangalia foundation ya chama na yeye akajuwa acheze vipi karata yake sasa Uwenda wale wamefunga midomo nakuacha afanye vile anafanya watakuwa wamefanya calculation wakijuwa mbele atakutana na kaz nzito kaz ambayo yeye hatokuwa wakwanza ila marais wenzake wastaafu walikutana na hizo nyakati ila yeye hiyo hali itakuwa ngumu sana.
Nini hasa kitatokea? Wapo watu aliwategemea sana na aliwaona kama watu wakaribu ila nyuma ya pazia wamesha jua sera na mrengo wake na kuwa kama gogo mbele maana ikumbukwe ccm ina aina ya mfumo mgumu sana kwa mwenyekiti kufikiri anaweza kuwa mwenyekiti Mfalme na hii ilianza kwa Nyerere mwenyewe hivyo kamwe haiwez kuwa Rahisi kwa mwenyekiti kuwa mfalme.
Ccm ina watu na hao watu wananguvu ndani ya chama wengi hatuwajuwi au tuna wajuwa ila hao watu hao ni muhim kwa hatima ya chama.
Ccm ni mtandao ndani na nje ya chama, huu mtandao huu ni hatari sana.
Kwakuwa anatawala muhula wa mwisho basi bila shaka Uwenda kuna mambo hata panga yeye ndani ya chama na hii ni kuzuwia kujitengenezea watu wako hapa wanalenga kuweka watu wa chama sio wa Kiongoz.
Spika wa Bunge hili nalo litazuwa mfukuto maana Spika ajaye Sina uhakika kama atakuwa Mzee baba.
Kukata nakupitisha Majina ya wabunge nadhani mmeshajuwa nalo hili nimeeleza.
Haya ni maono yangu japo bado naomba Mungu atupitishe salama.
Kidumu chama Cha mapinduzi