Bishazo_june
Member
- Jul 3, 2023
- 42
- 55
Zipi ni sababu kuu za mwanafunzi kusinzia darasani.
Na ni Kwa namna ipi mwanafunzi anaweza kuepuka Hilo?
Na ni Kwa namna ipi mwanafunzi anaweza kuepuka Hilo?
Thanks [emoji120]Ili kuepuka kusinzia darasani muhimu mwanafuzi awe anapenda somo husika na mwalimu awe mbunifu...kuna wale waalimu kama somo ni law,atastick kilichomuweka pale mbele mwanzo mwisho,wakati unatakiwa uweke vistori vya uongo na kweli ili kuchangamsha akili
Kuelewa sana somoZipi ni sababu kuu za mwanafunzi kusinzia darasani
TakenAwe amekula hasta muda was mchana, na wakati mwingine nunua pipi toa KAZI na wanaofanya vema uwape pipi kama zawadi.
So wakati anamumunya hawezi akalala
So ale Nini kabla ya kuingia darasani..au asile kabisa???Kula mihogo, uji, yaani vyakula vote vya wanga mwanafunzi akila kabla ya kuingia darasani, lazima alale. End product ya carbohydrate after digestion ni ALCOHOL ambayo inapelekea kusinzia.
sababu ni nyingi.Zipi ni sababu kuu za mwanafunzi kusinzia darasani.
Na ni Kwa namna ipi mwanafunzi anaweza kuepuka Hilo?
Thankssababu ni nyingi.
Inaweza kuwa shibe au njaa au nyumbani anachelewa kulala au nyumbani anaamka mapema sana au nyumbani anaanza na kazi zingine kabla hajaja shule. Au mwalimu yupo "boring" darasani.
Sababu ni nyingi sana, ndiyo maana duniani huko hawasomi muda mrefu sana ki[indi kimoja na darasani na masomo siku hzi ni "interactive", kuna mbinu nyingi za kumvutia mtoto asilale darasani, inategemea na namna ya Mwalimu na namna masomo yanavyosomeshwa.
SureHata kanisani watu wanalala fofofoo
Great [emoji106]Kuna wakati unakuta mwalimu anapiga watoto wanaolala darasani bila kujua sababu za wao kulala
Wenzetu lazima wachimbe na kujua je kwanini mtoto analala darasani
Labda mzazi mlevi na akirudi usiku ni vita na matusi mpaka manane ya usiku
Mtoto kapigwa na baba mlevi usiku kucha kelele unategemea nini
Anakuja shule mwalimu anamuongezea fimbo masikini na yeye hawezi kusema baba kaisha mkeshesha usiku mzima
Sura ya mwalimu inamfanya aogope kusema
Waalimu waulizeni watoto nini kimewasibu? Badala ya kupiga tu
Labda anatumwa kuchota maji mapema mno kabla hajaja shule na ni mbali
Labda wana shida na hali ni duni kwao hawana hata chakula cha kila siku
Sababu zinaweza kuwa nyingi ila wahurumieni