Zipi ni hospitali sahihi kwa shughuli ya kutairi hapa Dar?

F2S

JF-Expert Member
Feb 16, 2008
216
44
Habari zenu wana wa JF,

Nahitaji kujua ni hosipitali gani sahihi kwa huduma ya kutahiri hapa Dar.

Nahitaji mwanangu apate huduma hii nikiwa na imani kwamba watoa huduma sio makanjanja.

Natanguliza Shukrani.
 
Back
Top Bottom