KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,948 Reaction score 9,464 Oct 16, 2011 #1 Nini umegundua kwenye huu msitu?? Je unaweza kukubali kujifunza na wenzio?? Siyo kuwa ni hatari kwa mwenziye bali hata kwake huu ni ukauzu zaidi ya dagaa!!
Nini umegundua kwenye huu msitu?? Je unaweza kukubali kujifunza na wenzio?? Siyo kuwa ni hatari kwa mwenziye bali hata kwake huu ni ukauzu zaidi ya dagaa!!
Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,502 Reaction score 6,457 Oct 16, 2011 #2 Picha ya kwanza hiyo miti imetengeneza sura ya kama ya binadamu!!!
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,841 Oct 16, 2011 #3 hiyo ndege ndo yenyewe.....pilot learner