Zipate mashine za lambalamba au Popsicle's

Job Richard

Verified Member
Feb 8, 2013
3,491
2,000
Najidakia online store wanatoa service ifuatayo

mashine ya kutengeneza lambalamba yenye uwezo mkubwa piece 200 kwa pamoja ndani ya dakika 25-35 tayari ni kwa kibiashara kweli kweli tunaitengeneza hapa hapa gharama yake million tano tu

Pia zipo za kutoka China kwa wapenzi wa hizi mashine zipo uwezo tofauti tray moja 3m
Na tray mbili 4m
Tray tatu 5m
Kwa sasa zimebaki tano tu karibuni

0659567058
Mashine zote zinazouzwa chini yetu najidakia store ni imara na bora
IMG-20190208-WA0005.jpg
IMG-20190125-WA0021.jpg
IMG-20190125-WA0020.jpg
IMG-20190208-WA0005.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
443
500
Magomeni unapata mashine ya lamba lamba kwa milion moja na laki tano anaetaka anichek dm nimuekekeze pa kwenda akanunue kwa bei ya 1.5m muache kuwapiga watu na bei za juu, mara mashine ya corn milion 3, mara lamba lamba mashine milion 3 du
 
Job Richard

Verified Member
Feb 8, 2013
3,491
2,000
Magomeni unapata mashine ya lamba lamba kwa milion moja na laki tano anaetaka anichek dm nimuekekeze pa kwenda akanunue kwa bei ya 1.5m muache kuwapiga watu na bei za juu, mara mashine ya corn milion 3, mara lamba lamba mashine milion 3 du
Ndugu kiushauri weka tangazo lako maana tunaziweka bei zetu kutokana na unaponunua sasa anaweza kukuuzia mashine used au isiyo na ubora bei ya chini mwisho wa siku hata mwaka haimalizi

China ina soko kubwa nyinyi ndo mnaifanya nchi yetu dampo la vitu vibovu Angalia hizo model zetu na linganisha na hizo zako hatukubezi

Na kuthibitisha zaidi ingia mtandaoni google kampuni za hizi mashine na bei zake zilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
devcon

JF-Expert Member
Feb 2, 2015
355
500
Najidakia online store wanatoa service ifuatayo

mashine ya kutengeneza lambalamba yenye uwezo mkubwa piece 200 kwa pamoja ndani ya dakika 25-35 tayari ni kwa kibiashara kweli kweli tunaitengeneza hapa hapa gharama yake million tano tu

Pia zipo za kutoka China kwa wapenzi wa hizi mashine zipo uwezo tofauti tray moja 2.6m
Na tray mbili 3.8m
Tray tatu 4.9m
Kwa sasa imebaki moja tu yenye tray moja karibuni
0762612213

Mashine zote zinazouzwa chini yetu najidakia store ni imara na bora
View attachment 1020319 View attachment 1020321 View attachment 1020322 View attachment 1020323

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hyo machine yenye tray1 inatoa piece ngapi kwa wakati mmoja na kwa muda gn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,857
2,000
Magomeni unapata mashine ya lamba lamba kwa milion moja na laki tano anaetaka anichek dm nimuekekeze pa kwenda akanunue kwa bei ya 1.5m muache kuwapiga watu na bei za juu, mara mashine ya corn milion 3, mara lamba lamba mashine milion 3 du
Mkuu naomba nielekeze, nimeku pm.
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,857
2,000
Ndugu kiushauri weka tangazo lako maana tunaziweka bei zetu kutokana na unaponunua sasa anaweza kukuuzia mashine used au isiyo na ubora bei ya chini mwisho wa siku hata mwaka haimalizi

China ina soko kubwa nyinyi ndo mnaifanya nchi yetu dampo la vitu vibovu Angalia hizo model zetu na linganisha na hizo zako hatukubezi

Na kuthibitisha zaidi ingia mtandaoni google kampuni za hizi mashine na bei zake zilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba jina la kampuni ni google nilinganishe bei mkuu kama ulivyoshauri, zenu ni brand gani!
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,857
2,000
Najidakia online store wanatoa service ifuatayo

mashine ya kutengeneza lambalamba yenye uwezo mkubwa piece 200 kwa pamoja ndani ya dakika 25-35 tayari ni kwa kibiashara kweli kweli tunaitengeneza hapa hapa gharama yake million tano tu

Pia zipo za kutoka China kwa wapenzi wa hizi mashine zipo uwezo tofauti tray moja 2.6m
Na tray mbili 3.8m
Tray tatu 4.9m
Kwa sasa imebaki moja tu yenye tray moja karibuni
0762612213

Mashine zote zinazouzwa chini yetu najidakia store ni imara na bora
View attachment 1020319 View attachment 1020321 View attachment 1020322 View attachment 1020323

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ufafanue na watt kila moja ina ngapi, na je zinatumia huu umeme wa majumbani au 3
phase?!
 
impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,106
2,000
Magomeni unapata mashine ya lamba lamba kwa milion moja na laki tano anaetaka anichek dm nimuekekeze pa kwenda akanunue kwa bei ya 1.5m muache kuwapiga watu na bei za juu, mara mashine ya corn milion 3, mara lamba lamba mashine milion 3 du
Asante kwa kutufumbua macho
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom