Zion daughter

mkuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,462
Jamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimie
tafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako
 
Jamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimie
tafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako
Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:
Jamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimietafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako
Dah.. jamani mkuzi mbona umekataa kunimbia jina lako la ubatizo!?? Ningeweza kukupm lkn mpaka niombe ruhusa kwa baba Mwita Maranya..mimi mtoto wa geti kali
 
Last edited by a moderator:
utamuwezaaa?
staftahi yake protea st peter,
lunch serena,
dinner yake anapendelea chinese pale golden tulip,
shopping mariedo,
dhahabu shurti akanunue dubai......
jipime ndungu yangu si unajua kina cha maji hakipimwi kwa miguu miwili?
 
utamuwezaaa?staftahi yake protea st peter,lunch serena,dinner yake anapendelea chinese pale golden tulip,shopping mariedo,dhahabu shurti akanunue dubai......jipime ndungu yangu si unajua kina cha maji hakipimwi kwa miguu miwili?
Ha ha ha.. Bishanga bana..Haya bora umwambie mimi nikisema hataamini
 
Last edited by a moderator:
zion daughter usikatae wito kataa neno,achana na bishanga ameshazeeka
 
Bishanga mbona unanikatisha tamaa,zion please mzee mwita maranya hana neno,basi ngoja nikutakie ijumaa kuu njema
 
Jamani kipindi hiki cha pasaka ningefurahi kuonana na binti huyu ,hebu niombeeni ndoto hii itimie
tafadhari zion daughter ni pm unipe namba yako japo nisikie tu sauti yako

hivi umesahau kuwa ana mume??
Unadhani anatoka hivi hivi nadhani unamshika simba masharubu yakee
 
Bishanga mbona unanikatisha tamaa,zion please mzee mwita maranya hana neno,basi ngoja nikutakie ijumaa kuu njema

huko huko ukiwa mbali sitaki wagenii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…