Zingatia wanaokuja msibani au kwenye sherehe

moto wa maji

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
4,150
2,976
habari wakuu
naomba tuzingatie hili suala ,wengi tunaamini kwamba wengi wanaofika msibani au kwenye sherehe fulani basi wanatupenda au wanatukubali .Ukija kuzingatia vizuri utakuta kumbe wengine ni wale wanafiki ,wachorafi ,wasambazaji,ambao hawapendi mambo yako yawe vizuri, sasa ni bora yule aliye kwenye sherehe na watu watatu ambao sio wanafiki kuliko aliye na watu mia afu 99 wote wanafiki
 
Ni kweli na bahati mbaya watanzania wengi wako hivi.
 
Back
Top Bottom