Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,401
- 4,707
Gereza la Moro Sumbawanga unalijua?Maweni naona ndio gereza gumu sana kutokana na location yake ilipo utapiga sana kokoto kwenye jua pale wafugwa wengi pale wametoka magereza ya karanga(Kilimanjaro) na kisongo(Arusha) hawa ni wa vifungo virefu na wale wa pale tanga kule shuruba ni nzito sana wafungwa wa kunyongwa wapo pia pale wengii tyu (condemn) maweni hata askari magereza ni wakali sana upekuzi ni kila muda na vipigo ukienda kule mwezi utapauka na kua mweusi tiii kutokana na joto, kazi, mrundikano wakuu gereza la maweni ndio gereza naloliogopa kuliko yote Tanzania likifuatiwa na gereza la Songwe na gereza lililopo Ruvuma!
Usisahau kunitag please somo zuri hiloNitaeleza kwa uzi nitakaoshare kuhusu mambo yanayopeleka wengi jela
Halifikiii maweni elewa acha ligiGereza la Moro Sumbawanga unalijua?
Nimechokoza ili usimulie tuHalifikiii maweni elewa acha ligi
Nimechokoza ili usimulie
simulia la huko sumbawanga.Nimechokoza ili usimulie tu
Huyu mwamba ni mahabusu sio mfungwa.CC Mbowe Aikaeli
Hakika Mungu ni mwema epuka hasira na tamaaMkuu asante sana kwa hii Elimu,nimefaidika sana. Mungu anisaidie nisiingie huko siku moja
ulikaa mahabusu kwa mistake gani na ulishuhudia yapi mahabusu?Nilikaa mahabusu kwa siku 2 tu Ila dah nilijihisi kama nipo kuzimu...
Bora ukose pesa kuliko Uhuru!!
ugaidi, uchochezi wa vita, ulawiti, na ubakaji mengne wataongezeaMkuu, viongozi wa dini wanaingia gerezani kwa kesi zipi kwa mfano
Kwa kukata rufaa hawezi kuchapwa maana kama akishinda rufaa itakuwa haina maana tena japo **** mufa utapotea huo hauna namna ila viboko vinaweza kusubiri utekelezwaji Mkuu.Mkuu haujakata kiu cha swali langu.
Hapo umeeleza namna ya ukung'utaji wake tu.
Ninachotaka kuelewa, pamoja na process hizo za kupimwa na nini sijui, mboko zinatembezwa siku ya ngapi tangu utinge jela kuanza kutumikia adhabu?
Nikatolea mfano wa Sabaya ambaye alifungwa na kukata rufaa, je alishapigwa tayari hata kabla ya mchakato wake wa rufaa haujasikilizwa, au inakuwakuwaje hapo?