wabara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,500
- 706
Umenena kweli kaka. Uislamu una shear tabia moja ya msingi sana na dini zingine, unasisitiza sana upendo na amani, hii ni tunu muhimu sana katika maisha ya sie viumbe tusio jua hatma ya kesho yetu.
Mwenyezi Mungu atujalie tuwe ni wenye kutendeana mema mpaka pale tutakapo ondoka kwenye uso wa hii dunia. Inshaallaah.
Tuwe na uhalisia na Imani ya kweli juu ya tuyazungumzayo/tuyaandikayo na si kufurahisha tu wasomaji,
M/Mungu atusaidie wepesi katika hilo,
na kukumbuka baada ya leo ni kesho na baada ya sasa ni baadaye
Aamiin,