Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,909
- 2,477
- Thread starter
- #21
kuna sababu za kumfanya mtu akasirike,naweza kusema huwa inatokea ghafla agharabu kusema hapa nakasirika au pale sikasiriki,huenda ukasema hivyo lakini ikitokea hali halisi huenda ukakasirika,kwa mfano,imetokea tu umegundua mke wako anabwana pembeni,hapa pia utasemaje,kwa asili haiji hasira automaticaly?labda cha kuongeza kwamba kukasirika hakukwepeki ila kinachotakiwa ni kutulia kwanza unapohisi umekasirika yaani usitoe maamuzi ukiwa una hasira,ila hasira haizuiliki.hata hivyo umejitahidi kutuletea kitu tofauti kidogo...
kuwa muadilifu na ifuate haki hata katika hasira (hii ndio dawa ya hasira).
Mtu strong si yule anaejua kupigana mwereka, Mtu strong ni yule anaojua kuji-controll katika hasira.